PPRA panalipa?

PPRA panalipa?

MANSLEAZY

Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
53
Reaction score
24
Mambo zenu jamani kuna Mdogo wangu amepata kazi PPRA ila yeye kwa sasa yuko kampuni moja hivi analipwa laki 9 net salary anajiulize je aache huko aliko? Maana Ana wasiwasi na kulipwa mshahara mdogo
 
ni bora ungetuambia na elimu yake. hope ana degree namshauri aende PPRA
 
Kila mahali panalipa d3pending on your creativity, hard work and luck
 
Mwambie achape mwendo private kampani hata kama anapewa milion kumi hazina dhamana ikiyumba kidogo unaweza potezwa kama mbwa
 
Mkuu mwambie aende haraka sana wana mishahara mizuri sana na pia mazingira ya kazi yako poa sana nawajua wafanyakazi kadhaa pale maisha yao yako njema sana
 
Hiyo nafasi ya PPRA sijui ina tatizo gani maana kila mtu anayechaguliwa kufanya kazi anaikimbia baada ya muda mfupi hata mwaka haufiki. ukiifuatilia kwa undani utagungua kuwa hiyo nafasi karibu kila mwaka au mwaka na nusu inatangazwa. aende kwa tahadhari
 
Mambo zenu jamani kuna Mdogo wangu amepata kazi PPRA ila yeye kwa sasa yuko kampuni moja hivi analipwa laki 9 net salary anajiulize je aache huko aliko? Maana Ana wasiwasi na kulipwa mshahara mdogo

vipi PPRA wamewapokea.. maana wanazengua kupokea watu for now
 
Vijana wa siku hizi mnataka mishahara mikuuubwaaaa, utendaji kazi fekiiii! Fanyeni kazi kwa manufaa ya wtz na sio huge salary
 
Habarini zenu wadau Kama wiki 2 zilizopita utumishi walitoa majina ya watu kuitwa kazini mdogo wangu alikuwa mmojawao aliitwa PPRA lakini alipoenda kuripoti akaambiwa asubiri atapigiwa Simu sasa ana wasiwasi sana. Naombeni ushauri we nu ili atoe wasiwasi jamani
 
mwenyewe nimeambiwa hivyo hivyo.. cjui wana mpango gani..
 
Back
Top Bottom