KAKA YAKO NAPITA
JF-Expert Member
- May 16, 2014
- 1,322
- 233
kivipi mkuu,toa maelezo kidogo,maana hata mm nikimwambia usiende,itabidi nipe maelezo kidogo
Mi wamenitumia sms....post ya contribution trainee...jamani, mwenye uzoefu na interview zao hatujuzee wakuu...
mshika mawili moja humponyoka,na kama tayari anamishe anajisumbua nini kuja kwenye interview ya wato 10,000kivipi mkuu,toa maelezo kidogo,maana hata mm nikimwambia usiende,itabidi nipe maelezo kidogo
kaka jiandae kufanya maswali 50 online test
ndio mkuuKwahiyo tunapewa computer kila mmoja. ? Plz msaada
Mungu awapiganie na kuwasimamia kwa ajili ya interview ya kesho.
Mungu awapiganie na kuwasimamia kwa ajili ya interview ya kesho.
Mungu awapiganie na kuwasimamia kwa ajili ya interview ya kesho.
Mungu awapiganie na kuwasimamia kwa ajili ya interview ya kesho.