UMEFIKA WAKATI WANAOITWA INTERVIEW WAWE WANALIPIWA PESA YA MALAZI,CHAKULA NA USAFIRI,KUTIA TIJA,SIO KUITANA HUKU WATU WAMESHAPANGWA WA HIZO NAFASI.HOJA HII NAOMBA IFIKE BUNGENI.:msela:
Kweli.................
Izi ndo zile za watu 10,000/- ?
ni oral mkuu
wamekwambia ni oral???
OK .....wajf see you next season
VP operation tranee
Habari za muda wadau,kuna ndugu yangu ameitwa kwenye usahili PPF jumammosi nafasi Operations trainee,ila kuna issue ambayo anafatilia na inaanza wiki ijayo jumanne na itachukua muda wa mwezi mmoja,kimsingi ni mishe ya uhakika,tatizo ni siku ya kuanza semina ya issue hiyo ambayo inaweza ikawa alhamisi na ijumaa,Je atoroke aende kwenye interview then arudi kwasababu yuko mkoani............Ushauri tafadhari pia kwa mwenye kujua Interview za PPF zinakuwaje atoe msaada,..NAWASILISHA
kivipi mkuu,toa maelezo kidogo,maana hata mm nikimwambia usiende,itabidi nipe maelezo kidogoasiende