KAKA YAKO NAPITA
JF-Expert Member
- May 16, 2014
- 1,322
- 233
"Ukishaitwa DUCE, U/wa Taifa, IFM, UDSM ujue written inahusika. Kwani ukumbi wa ofisi zao hauwezi kutosha kuwa - accomodate wote
kama ni written kwanin wanasema watu waende na vyeti vyao origino? kwa ajili ya nini?! mi nafikir kitambulisho pekee kinatosha kabisa km ni written interview
Jaman nauliza watu wa marketing wameita wadau?maana me niliomba marketing officer ll
nafasi: Member care trainee
mahali: Duce
muda: 06/06/2015 (05:00 asubuhi).
Nitakuwapo siku hiyo kamwe sitachoka kuhudhuria usaili (mara ya 12 sasa ) wowote nitakaoitwa mpaka pale mungu atakaponifungulia njia ya mafanikio yangu.
wadau, ppf wameanza kuita watu kwenye usahili kaa karibu na simu yako
wadau lapf vipi?
Nimeitwa pia nafasi ya member care trainee, ngoja nipime upepo kwanza
usipotoke wala usipotoshe muda ni saa mbili asubuhi labda kama kuna makundi tofauti
usipotoke wala usipotoshe muda ni saa mbili asubuhi labda kama kuna makundi tofauti
Ndesalee nichek through 0788650389
ni online test 50 questions
hata mi nimetumiwa vlmsg na email km yako, huyo anaesa ma sa mbili ndo anapotosha watu.