hekimanyingi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 679
- 573
Kwa kutazama haraka idadi ya watu tulikuwa takriban 200 au zaidi. It sounded fair, ila huwezi kujua kama kulikuwa na fitna japo kuna kachero mmoja aliniambia waliamuwa kutumia taasisi nyingine kufanya recruitment ili kuwepo na fairness japo sijathibitishiwa hilo mkuu. Jiandae kama nilivyoshauri unaweza ukafanikiwa ukijiandaa vyema na kumtegemea Mungu.vp mkuu wakati mnafanya usaili idadi ya watu mlioitwa ilikuwaje na kuna uwazi wa kutosha katika kuajiri ama kuna ukiritimba pia?
usichoke, ukichoka inamaana umepata mkuu
wewe ndio mtunzi wa mtihani au unajishahua tu???Kwa mtakaoenda kwenye interview hakikisheni mnasoma taarifa muhimu kuhusu ppf kwenye website yao kama vision,mission, aina za mafao yatolewayo, what is ppf na mengineyo yapatikanayo kwenye website. Pia someni kuhusu mamlaka inayohusika na mifuko ya jamii SSRA, kazi zake na mifuko mingapi ya jamii iliyopo na kwanini ipo. General questions zinahusika pia so be well prepared. Nilishawahi kufanya hapo interview niakaangukia pua.
Nawasilisha
Hawajabainisha na kutoa maelezo ya kutosha kama ni Oral au Written Interview!
Ni kweli kuna mahali nimesoma imeandikwa hivi " Ukikata tamaa hakuna mtu atakayekuangali lakini ukikata viuno watu kibao watakutolea macho". Hivyo keep on trying. Wanasema "Try and fail but never fail to try"
Kwa kutazama haraka idadi ya watu tulikuwa takriban 200 au zaidi. It sounded fair, ila huwezi kujua kama kulikuwa na fitna japo kuna kachero mmoja aliniambia waliamuwa kutumia taasisi nyingine kufanya recruitment ili kuwepo na fairness japo sijathibitishiwa hilo mkuu. Jiandae kama nilivyoshauri unaweza ukafanikiwa ukijiandaa vyema na kumtegemea Mungu.
Wanatuma sms au wanapiga kiongozi
Ni kwa post ya Contribution Trainee. Nimepokea sms. Wadau kaeni tayari mambo yameshaiva. Venue ni duce. Tarehe 6 june..
Wamepiga cm au? Mm niliomba ngoja tusubiri.
Na calculations zinahusika au...tusaidie mkuu
Wanaendelea kutuma meseji na kesho au ndo tuandike maumivu?Wadau,pff wameanza kuita watu kwenye usahili kaa karibu na simu yako
Mi niliomba post 2 nimetumiwa text ya ku-attend ya Contribution trainee Mwanangu Inno katumiwa zote mbili hadi Operation trainee kaitwa pia kiongozi
Wanatuma sms au wanapiga kiongozi
Ndesalee nichek through 0788650389Inno ndo yup arifu?