MY REVIEWS
Member
- Apr 13, 2015
- 10
- 6
Kwa mtakaoenda kwenye interview hakikisheni mnasoma taarifa muhimu kuhusu PPF kwenye website yao kama vision, mission, aina za mafao yatolewayo, what is PPF na mengineyo yapatikanayo kwenye website.
Pia someni kuhusu mamlaka inayohusika na mifuko ya jamii SSRA, kazi zake na mifuko mingapi ya jamii iliyopo na kwanini ipo. General questions zinahusika pia so be well prepared. Nilishawahi kufanya hapo interview niakaangukia pua.
Nawasilisha
Nafasi: Member Care Trainee
Mahali: DUCE
Muda: 06/06/2015 (05:00 Asubuhi).
Nitakuwapo siku hiyo kamwe sitachoka kuhudhuria Usaili (mara ya 12 sasa ) wowote nitakaoitwa mpaka pale Mungu atakaponifungulia njia ya Mafanikio yangu.
Kwa mtakaoenda kwenye interview hakikisheni mnasoma taarifa muhimu kuhusu ppf kwenye website yao kama vision,mission, aina za mafao yatolewayo, what is ppf na mengineyo yapatikanayo kwenye website. Pia someni kuhusu mamlaka inayohusika na mifuko ya jamii SSRA, kazi zake na mifuko mingapi ya jamii iliyopo na kwanini ipo. General questions zinahusika pia so be well prepared. Nilishawahi kufanya hapo interview niakaangukia pua.
Nawasilisha
NAFASI YAKO IPO MKUU Mungu KAKUANDALIA.....MTAFUTAJI HACHOKI
Ni kwa post ya Contribution Trainee. Nimepokea sms. Wadau kaeni tayari mambo yameshaiva. Venue ni duce. Tarehe 6 june..
Ni kwa post ya Contribution Trainee. Nimepokea sms. Wadau kaeni tayari mambo yameshaiva. Venue ni duce. Tarehe 6 june..
Ahsante nashukuru sana, siku yangu ipo na inakuja tu kwani sijakata tamaa na wala sitochoka hata kidogo!