PPF Tanzania walitangaza nafasi za kazi mbalimbali mwezi wa sita, je wameita watu katika usahili?

Habari wadau,, ppf tanzania walitangaza nafasi za kazi mbalimbali mwezi wa sita,, hvi bado hawajaita nafasi zilizobaki kwenye usahili? Maana niliona waliita kwa nafasi za madereva tu,, msaada kwa yeyote mwenye taarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nchi ina utaratibu mbovu kweli kweli,yaani kila kona hovyo hovyo tu...PPF,Sumatra, Ewura,Bima ya Taifa pia hao pia wamekaa kimya mpaka kesho...na WCF pia...watu wametuma maombi ila kimyaa muda unayoyoma tu shortlist hakuna wala notice tu kwa waombaji hakuna...
Note: kwa watanzania wenzangu kama huna ajira na mind yako umeilekeza ajira ndo mkombozi wa kwanza,jitahidi kuomba na nje ya nchi....ni heri kwenda kutumika nchi jirani kuliko kusubiri Meli stendi ya basi...

WCF ipii tena? Mbona hufuatilii habari? Huko jua lilizama. Au unamaanisha nini?
 
Nasikia walitoa majina kwenye website yao siku moja kabla ya interview, na nilibahatika kutembelea website yao siku hiyo hiyo kwenye 'news achieve' yao lakini hayo majina sikuyaona. ila kuna mtu alipiga picha hayo majina kama majina mawili ya mwisho.
 
Hii nchi ina utaratibu mbovu kweli kweli,yaani kila kona hovyo hovyo tu...PPF,Sumatra, Ewura,Bima ya Taifa pia hao pia wamekaa kimya mpaka kesho...na WCF pia...watu wametuma maombi ila kimyaa muda unayoyoma tu shortlist hakuna wala notice tu kwa waombaji hakuna...
Note: kwa watanzania wenzangu kama huna ajira na mind yako umeilekeza ajira ndo mkombozi wa kwanza,jitahidi kuomba na nje ya nchi....ni heri kwenda kutumika nchi jirani kuliko kusubiri Meli stendi ya basi...

Sent using Jamii Forums mobile app

Usisahau na postal Bank
 
Bima ya taifa mbina tayari kitambo watu wapo kazini mwezi huu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu nmeona tangazo ka ratiba ya interview ppf je kuna mwenye majina ya walioitwa kweny interview tareh 28 duce
 
PPF wapumbavu wametoa tangazo gazetini eti walioomba wote waende kwenye usahili,hapo hata mtu usipoteze muda tayari wameshaweka watu wao,kweli wooote waliotuma maombi wanavigezo??wameshndwa hata kushort list??
 
Back
Top Bottom