kiri12
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 637
- 555
Habari wadau, PPF Tanzania walitangaza nafasi za kazi mbalimbali mwezi wa sita,, hvi bado hawajaita nafasi zilizobaki kwenye usahili? Maana niliona waliita kwa nafasi za madereva tu,, msaada kwa yeyote mwenye taarifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app