kama mifuko yote ya jamii inafanana basi haichukui muda coz mi nilienda nssf niliambiwa muda wowote utaratibu ukikamilika so inaweza kuwa siku mbili,wiki 1 na kuendelea it depends,hakuna muda maalum kama zamani ulikuwa unasubiri miezi 3/6..WAKUU
SALAAM. Naomba mwenye ufahamu anijulishe je inachukua muda gani kupata fao la kujitoa PPF baada ya kusubmit documents zote zinazohusika ofisini kwao?
asanteni sana.