jamani siku hizi una uwezo wa kuji-printia statement ,status ,contribution zako za ppf cha kufanya nenda kwenye website ya ppf au ngoja niwawekee na link kabisa Homepage - PPF Pensions Fund hapo unaweza kuregister kisha ukawa na account kama ya facebook au jamii forums vile baada ya hapo kinachofuata unalog In kisha ina bonyeza huduma unayoitaka kama statement, contribution pia au pia kuulizia status ya madai yako sisi wa Tz Mungu atusadie huwa tunatumia technolojia hi ya Tehama kwenye mitandao ya kijamii na kuangalia yale mambo yetu yaleee tunaacha mambo muhimu kisha tuna enda kupanga foleni kule ppf kusumbua watu
karibu ndugu, kwa mtindo huu utaona michango yako yootee hata pale mwajiri hakupeleka pia utaona, kiwango cha michango kwa mwezi pia utaona, jumla ya michango pia utaona na kama pia utakuwa uli wasilisha madai yako pia ukiangalia kwa kubonyeza "status" utaona hatua ilipofikia au ilipokwamia kweli hawa jamaa kwa hili nawasifu