Hata hao wanasifia lapf uliza waliomo au walioingia wakatoka hapo ndo utaelewa hakuna kitu kinaudhi pale unapotaka mchanganuo ya michango yako unaambiwa ya mwezi fulani haijaingia kafuatilie kwa mwajiri wat the f####k hapo hapo mwajiri akicheleweshwa anapigwa penalt yani dah