Mkuu nssf wanatoa..Hivi NSSF wanatoa fao la kujitoa baada ya miezi sita?
Promo at WorkLAPF wanatoa mikopo ya kununua kiwanja kwa wanachama wake
Nyie PPF na NSSF mnapiga dili kama DEGE ESTATE na kujitajirisha tu
Wafanyakazi wa PPF na NSSF ni matajiri, wana miliki majumba - bungalows
Miradi yao ni tumbo zao
Hongera LAPF
Watu mchague LAPF
PPF wanakataa kulipa FAO la kujitoa kwa wanachama wa Kampuni binafsi
PPF wanangoja maamuzi ya Bunge la mihuri..Ndioooooo
Hao NSSF Hata bima zao pia za hovyo yan mtu unachagua hospitali 1 ya karibu nawe hadi wakishinswa ndo wakuruhusu wao watu wa hospitali ndo waku transfer bila hivyo hupati huduma eneo lengine. Mfano unakaa tabata aroma basi hapo utatumia madona hospitali hata kama unahisi ama unaona huduma zao mbovuLAPF wanatoa mikopo ya kununua kiwanja kwa wanachama wake
Nyie PPF na NSSF mnapiga dili kama DEGE ESTATE na kujitajirisha tu
Wafanyakazi wa PPF na NSSF ni matajiri, wana miliki majumba - bungalows
Miradi yao ni tumbo zao
Hongera LAPF
Watu mchague LAPF
PPF wanakataa kulipa FAO la kujitoa kwa wanachama wa Kampuni binafsi
PPF wanangoja maamuzi ya Bunge la mihuri..Ndioooooo
Hizi huduma hutolewa kwa mpango upi? Ndio kwanza nausikia kwako.Hao NSSF Hata bima zao pia za hovyo yan mtu unachagua hospitali 1 ya karibu nawe hadi wakishinswa ndo wakuruhusu wao watu wa hospitali ndo waku transfer bila hivyo hupati huduma eneo lengine. Mfano unakaa tabata aroma basi hapo utatumia madona hospitali hata kama unahisi ama unaona huduma zao mbovu
Mkuu hivi ni misingi ipi hasa inayoleta ugumu kwenye kuhama hii mifuko ya hifadhi ya jamii kutoka mmoja kwenda mwingine?Kuna mfuko wa hovyo hapa duniani kama NSSF? Huu mfuko wa hifadhi ya serikali, hovyo hovyo hovyo hovyo kabisa. Kama ingekuwepo ruhusa ya mwanachama kuhama kutoka mfuko mmoja kwenda mwingine, wallah NSSF wangebaki civil servants na mapepo tu
Mkuu naomba details zaidi nikadake kiwanja faster!LAPF wanatoa mikopo ya kununua kiwanja kwa wanachama wake
Nyie PPF na NSSF mnapiga dili kama DEGE ESTATE na kujitajirisha tu
Wafanyakazi wa PPF na NSSF ni matajiri, wana miliki majumba - bungalows
Miradi yao ni tumbo zao
Hongera LAPF
Watu mchague LAPF
PPF wanakataa kulipa FAO la kujitoa kwa wanachama wa Kampuni binafsi
PPF wanangoja maamuzi ya Bunge la mihuri..Ndioooooo
Nani akwambie wakati we ndo umeleta madaMbona hamtuambii kuhusu PSPF?
Hii mifuko ni mapato ya serikali watu wajipiganie kujitoa kwenye hii mifuko ,mnatajirisha watu tuLAPF wanatoa mikopo ya kununua kiwanja kwa wanachama wake