Wong Fei JF-Expert Member Joined Apr 13, 2016 Posts 5,526 Reaction score 7,289 Aug 5, 2016 #41 chanawaleti said: nssf wanatoa tatizo ni hawa ppf mkuu Click to expand... Afadhali mkuu. Nitawashauri wote wajiunge na NSSF. Nimeona PSPF & PPF Hawafai.
chanawaleti said: nssf wanatoa tatizo ni hawa ppf mkuu Click to expand... Afadhali mkuu. Nitawashauri wote wajiunge na NSSF. Nimeona PSPF & PPF Hawafai.
Consigliere Platinum Member Joined Sep 9, 2010 Posts 12,901 Reaction score 27,423 Aug 5, 2016 #42 chanawaleti said: iyo ni Zuga mkuu juz nilienda pale ppf Morocco yaan Kuna kadada kapo reception kina dharau yaani kananiona mm ndiyo na 28 kananiambia mpaka nifikishe 55"hizi si dharau sasa Click to expand... Mimi naona kama vile hako kadada kanakuombea maisha marefu...kwani were hutaki kufikisha 55 mkuu?
chanawaleti said: iyo ni Zuga mkuu juz nilienda pale ppf Morocco yaan Kuna kadada kapo reception kina dharau yaani kananiona mm ndiyo na 28 kananiambia mpaka nifikishe 55"hizi si dharau sasa Click to expand... Mimi naona kama vile hako kadada kanakuombea maisha marefu...kwani were hutaki kufikisha 55 mkuu?
T totoreshakuku Member Joined Aug 3, 2016 Posts 35 Reaction score 7 Sep 30, 2016 #43 Wahanga wa PPF mko wapi? Yupeane tarifa jamani