chanawaleti
Senior Member
- Jul 4, 2016
- 176
- 209
. mm siyo maccm mkuu123456789 isome namba
Wapeleke mahakamani au nenda kwenye vyama wafanyakazi kuomba msaadaPPF kwa nini mnatuzuia kujitoa kwenye fao lenu? Kama nilisimamishwa kazi halafu hamtaki kutoa hela zetu tulizokua kunakatwa na kuwekwa kwenye mfuko wenu mnategemea nini na nitaishi vipi huku nataka kujiajiri?
Mnasema hadi nifikie miaka 55, huu ni uhuni na SSRA nao wamekaa kimya tu. Kwanini?
iyo ni Zuga mkuu juz nilienda pale ppf Morocco yaan Kuna kadada kapo reception kina dharau yaani kananiona mm ndiyo na 28 kananiambia mpaka nifikishe 55"hizi si dharau sasaMbona juzi hapa kwenye maonyesho ya sabasaba walikuwa wakijinadi kwamba member anaweza kujitoa muda wowote akitaka?
wanasema ni oda toka kwa ngoshaWapeleke mahakamani au nenda kwenye vyama wafanyakazi kuomba msaada
Hivi bado mchezo huu unaendelea wasitafute visa vya chinichini hawa hela ni za wafanyakazi sio zao kwani SSRA si wamesema watu wanaruhusiwa hao wana matatizo gani hii kesi naona sasa inatafuta mwenyewe .Acha watu wachukue fedha zao hio miaka 55 bakini nayo si hela za watu.PPF kwa nini mnatuzuia kujitoa kwenye fao lenu? Kama nilisimamishwa kazi halafu hamtaki kutoa hela zetu tulizokua kunakatwa na kuwekwa kwenye mfuko wenu mnategemea nini na nitaishi vipi huku nataka kujiajiri?
Mnasema hadi nifikie miaka 55, huu ni uhuni na SSRA nao wamekaa kimya tu. Kwanini?
Hujawahi kujiuliza ni kwa nini tunakuwa masikini wakati nchi ina kila kichocheo cha utajiri!?Mbona juzi hapa kwenye maonyesho ya sabasaba walikuwa wakijinadi kwamba member anaweza kujitoa muda wowote akitaka?
ok, mahakamani kila kitu kitakuwa wazi , tafuta wenzako wenye kesi kama yako muunganishe nguvu( kama watatu au zaidiwahe ngnasema ni oda toka kwa ngosha
Kabisa mkuu yani watu wanaofanya kazi kwa bendera fuata upepo na mihemko si kitu kizuri kabisa wewe kweli kukaa kote shule miaka yote hiyo unakuja kufundishwa ufanyaje kazi kweli halafu tunapambana na umaskini kwa nguvu zetu zote.Nicheke mie maana sielewi tunakoelekea kwa usawa huu wa hapa kazi tu sielewi hiyo kazi itafanyikaje kwa ustaarabu huu wa kuhold fedha za walalahoi.Hii tukio limeniuma sana na limenikatisha tamaa ya kufanya kazi wakati namfanyia mtu mwingine azitumie atakavyo.Halafu wanadanganya watu mtaani shame on them.Hujawahi kujiuliza ni kwa nini tunakuwa masikini wakati nchi ina kila kichocheo cha utajiri!?
Tatizo kubwa ni wale wanaosema wasichoweza kutekeleza! Watu hawa kutoishi kwao ni bora kuliko kuishi kwao.
mkuu ww ulienda wap wanazingua mm na mamilion yangu nataka niiajiri sasa hao wamenizingua adi niwe na 55Mi pia ni mhanga wa hili hebu tuuungane tupambane na hawa jamaa
hao ppf umeingia choo cha bar yaan hawafaiMm ndio kwanza nimeajiriwa alaf nimejiunga na huo mfuko wa PPF naanza kukosa amani sasa mkuu dah!
Nssf vip mkuuhao ppf umeingia choo cha bar yaan hawafai
nssf wanatoa tatizo ni hawa ppf mkuuNssf vip mkuu