PPF mfuko usiokuwa na motisha kwa wanachama wake

PPF mfuko usiokuwa na motisha kwa wanachama wake

Naunga mkono mtoa hoja huu mfuko hauna manufaa yoyote kwa wachangiaji kwani inasubiri tu anapostaafu
 
Al Sharpton, usipotoshe watu tahadhali. Ulishawahi kumwona ama kumsikia mtu yeyote aliyelipwa mafao ya kustafaafu na GEPF? Ina mwaka mmoja tu ibadilishwe kuwa penshen fund so wana formula ya kulipa mafao ambayo hawajawahi kutumia kumlipa mtu yeyote.
 
Nilijiunga na PPF tangu ilipoanzishwa na kuchangia miaka 25,siku ya kutoka nikalipwa 1.25m sawa na mshahara wa karani wao wa mwezi mmoja!
 
PPF wana kila dalili ya kufilisika, viongozi wake wapo wapo tu. Watu wengi wameanza kujitoa mwny huu mfuko
 
Nadhani inahitajika elimu kuhusu hii mifuko. kuna vitu hamuelewi.
 
Al Sharpton, usipotoshe watu tahadhali. Ulishawahi kumwona ama kumsikia mtu yeyote aliyelipwa mafao ya kustafaafu na GEPF? Ina mwaka mmoja tu ibadilishwe kuwa penshen fund so wana formula ya kulipa mafao ambayo hawajawahi kutumia kumlipa mtu yeyote.

Mkuu wapi nimepotosha watu?
 
Wafanyakazi wapya some hapo juu, usidhubutu jiunga na PPF, ni balaa tupu. wakati wastaafu wa mifuko mingine, kiwango cha chini cha pensioni si pungufu ya kima cha chini cha mishahara, uliza ppf wanatoa kiwango gani cha chini, hata njugu huwezi kununua
 
NSSF uko juu kuliko mifuko mengine kuna hili fao la matibabu ambalo wanachama huwa wanatibiwa na familia zao ambapo hakuna hata mfuko mmoja ambao inatoa kwa wanachama wake zaidi ya NSSF
 
Back
Top Bottom