Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,504 Reaction score 6,199 Nov 28, 2011 #1 sitaki kuamini mtu unakaa 5 hours kusubiri service..hawa akina dada hapa customer care hawana wanalolifanya wanajizungusha tu na kuongea na simu. yaaaani i wish hili shirika libinafsishwe....hovyo kabisa
sitaki kuamini mtu unakaa 5 hours kusubiri service..hawa akina dada hapa customer care hawana wanalolifanya wanajizungusha tu na kuongea na simu. yaaaani i wish hili shirika libinafsishwe....hovyo kabisa
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,732 Nov 28, 2011 #2 inakasirisha zaidi sababu ni hela ya kwako mwenyewe wala si mkopo af wanakuzingua yaani aghrrrrrrrr