Ni jambo la kushangaza kuona mfuko wa PPF wanafanya wapendavyo kuamua ni lini mstaafu, aliyeacha kazi kwa hiari au kufukuzwa alipwe haki zake.Haiingii akili mtu ajaze fomu za kulipwa mafao kwa wakati, halafu aje kulipwa baada ya miaka miwili baadae!!Mkurugenzi PPF wewe na watumishi wako wajibikeni tafadhali kutoa haki za watu