RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,382
- 1,851
Daa! I wish hao jamaa wangefikiria kujenga hospital bora yenye vifaa tiba vya kisasa kuliko zote barani Afrika. Ingetusaidia saana kuliko haya majengo marefu.
Kwa hiyo watu wanaoongezeka wataenda kuishi kwenye magorofa ya PPF? Rekebisha dishi hilo naona kama limecheza hiviWenzenu wanapiga hesabu za miaka 10 ijayo ya maisha ya watanzania,nyie mnaleta uchawi humu.
Hivi unajua mji huu unakua kwa kasi kiasi gani???unajua watu wanazaliwa wangapi kwa siku moja tu wakazi wa dar pekee???unajua wataishi wapi???
Nafikiri cost ya kuendesha hospitali si ndogo ,halafu real estate investment ina higher return for a long period of timeDaa! I wish hao jamaa wangefikiria kujenga hospital bora yenye vifaa tiba vya kisasa kuliko zote barani Afrika. Ingetusaidia saana kuliko haya majengo marefu.
Sitashangaa wakifanya hivo..hao jamaa sasahiv wamekaa kibabe sana na kiwiziwiziKuna nyepesi nyepesi kwamba, Muswada umeandaliwa kwenye mifuko ya jamii.
Kwanza mifuko yote kuungwanishwa na kubaki miwili.
Pili mstaafu hata pokea gawio /Fao lake lote, atapewa 28% ya fao lake na baada ya hapo atakuwa analipwa mshahara wake kama ulivyo mpaka anakufa.
Sasa hapa unambiwa watumishi sijui wataliamsha popo?
Kuna Kanali mstaafu nimemweleza kaniambia kama ni kweli basi Wanajeshi hawatakubali, babda excuse iwe kwenye vyombo hivyo vya dola, vinginevyo watamuondoa asubui na mapema kabla hajasaini
Kweli hospital ni cost kubwa. Lakini kwa utaratibu wao wa kukusanya pesa, sidhani kama watashindwa kuiendesha. Haya majengo hayana faida ya moja kwa moja kwa wachangiaji wa hiyo mifuko. Ila hospitali ya kisasa ingesaidia saana, hasa wastaafu.Nafikiri cost ya kuendesha hospitali si ndogo ,halafu real estate investment ina higher return for a long period of time
Hapana sio GEPF ni LAPFMall ya mwanza ni GEPF na sio Mali ya NSSF Mkuu.....
Jengo moja hapo ni parking tupu, halafu nje ya CBD hapo kuna nafasi za wazi nyingiParking ipo ya kutosha?
Huu ni uwekezaji wa kibiashara! Uwekezaji wa kibiashara unaangalia commercial and not social return! Hizo social returns wengine wanatoa as a part of security fund benefits na ndio maana ipo mifuko inayotoa bima ya afya, mikopo ya elimu etc. Lakini linapokuja suala la uwekezaji wa kibiashara it's 100 business na usipofanya hivyo utajikuta mifuko inaanza kuyumba angalau kwa kushindwa kulipa on time.Kweli hospital ni cost kubwa. Lakini kwa utaratibu wao wa kukusanya pesa, sidhani kama watashindwa kuiendesha. Haya majengo hayana faida ya moja kwa moja kwa wachangiaji wa hiyo mifuko. Ila hospitali ya kisasa ingesaidia saana, hasa wastaafu.
Kwani hayo maghorofa yanajengewa njiwa,au hata hujui ni ya nini!!!!,uko unalaumu na kutabiri tu???Kwa hiyo watu wanaoongezeka wataenda kuishi kwenye magorofa ya PPF? Rekebisha dishi hilo naona kama limecheza hivi
So mwaka wa pili huu halijaisha, ukiwapa wenye kazi zao 6month angekuja pombe hapo na kamkasi kukata utepe.Estim construction company Ltd walianza mwanzoni mwa mwaka 2016
Ni kweli. Ninakubaliana na wewe. Ila ukiangalia kwa upande wa biashara, well equiped hospitals zina mapato makubwa saana, hata kama haziendeshwi kibiashara. Pesa inayotumika kwa mwaka kupeleka ndugu zetu india na nchi nyingine za nje kama ikiwa channelled kwenye uchumi wetu, italeta faida kubwa saana, hata mifuko ya kijamii itaweza kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa.Huu ni uwekezaji wa kibiashara! Uwekezaji wa kibiashara unaangalia commercial and not social return! Hizo social returns wengine wanatoa as a part of security fund benefits na ndio maana ipo mifuko inayotoa bima ya afya, mikopo ya elimu etc. Lakini linapokuja suala la uwekezaji wa kibiashara it's 100 business na usipofanya hivyo utajikuta mifuko inaanza kuyumba angalau kwa kushindwa kulipa on time.
Sikatai kwamba hospitals hazitengenezi faida lakini faida zake huwezi kabisa kulinganisha na real estates. Na hakuna kitu pasua kichwa kwenye biashara kama operating costs. So, ingawaje hospitals zinaingiza mapato makubwa lakini operating costs ni kubwa... daily, weekly, monthly, annually!Ni kweli. Ninakubaliana na wewe. Ila ukiangalia kwa upande wa biashara, well equiped hospitals zina mapato makubwa saana, hata kama haziendeshwi kibiashara. Pesa inayotumika kwa mwaka kupeleka ndugu zetu india na nchi nyingine za nje kama ikiwa channelled kwenye uchumi wetu, italeta faida kubwa saana, hata mifuko ya kijamii itaweza kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa.
Sema Tanzania sio Africa mashariki mana Kenya tayari wana britam tower at 200m ,napia Kenya wanajenga pinnacle tower 70floors at 300m+ kwahiyo ppf litakuwa tallest in tz labda wapite britam. Pia nikitazama juu ya jengo hill naona wameshafika floor ya mwisho ambayo ni 35 saw a na pspf towers