Kupiga picha na mzungu / wazungu then unaipost, ili iweje? Huo nao ni ushamba uliokithiri ukidhani kua wao ni better kuliko sisi black people,
2. Kupiga picha na watu wakubwa wenye majina mf miss world, Rais au waziri, na hapo may be aliyembelea ofisi unayofanya kazi si wewe personal ,huo ni ushamba. Wa hali ya juu,
Mishhhhhjuuuuw!!!!