Pozi za kishamba

M.E.M.A

JF-Expert Member
Jul 27, 2013
1,373
472
Kwa mtazamo wangu hizi ndio picha za kishamba:
1. Kupiga picha umeshika soda
2. Kupiga picha ndani ya gari, malango wazi, umeshikilia sterling, na unamuangalia mpiga picha.
3. Kupiga picha umesimama kando ya TV
4.....endelezeni
 
Kuleta uzi usio na mashiko wakati Taifa liko katika wakati mgumu mno ambapo watawala wanafanya watakayo pasipo kujari wananchi.Huo nao ni ushamba
 
"[[/QUOTE]Kuleta uzi usio na mashiko wakati Taifa liko katika wakati mgumu mno ambapo watawala wanafanya watakayo pasipo kujari wananchi.Huo nao ni ushamba''

HAHAHAHAHA
 
hyo ya kupga picha kama passpot umemwangalia camera man mimacho hyooo kama kenge vle
 
Kumiliki magari mengi madogo nyumbani yasiyo zalisha nayo ni ushamba pia.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kuendesha gari huku umeshusha vioo vyote,na kusalimia watu hovyo
 
Back
Top Bottom