Pozi la Watoto wa Kike Shuleni

Pozi la Watoto wa Kike Shuleni

tatanyengo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
1,133
Reaction score
282
Watoto wetu wameharibikiwa. Kwa mtindo huu Division 0 zitazidi kuongezeka.

POZILAKISHULE.jpg
 
Kuna mtu kakuambia hao ni watoto?usibabaike na uniform hata maporn star siku hizi wanavaa
na wana act nazo!!
 
Kuna mtu kakuambia hao ni watoto?usibabaike na uniform hata maporn star siku hizi wanavaa
na wana act nazo!!
Mkuu kuna bar huku mikocheni wahudumu wapo smart sana, wanajitupia uniform kama za shule za sekondari fulani hapa bongo. Basi watu wanajichanganyaje huko njiani na magari yao.
 
Special Seat!
Madamex naomba muongozo! Kifungu cha 4 (a), kifungu kidogo cha nyongeza, (IV).
 
Back
Top Bottom