Ooyooo picha ya pili na kwa mbali na muwona mtalii wa dunia nzima na wala hakuna tena wa kumfikia na kuweka Historia ya nchi yake na atakapo maliza muda wake basi atakwenda mariakani akachukuwe Diploma na satifikiti ya kumbu kumbu ya kuzurura Dunia yote