englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Hii picha ilipigwa zamani, hao wakubwa wawili ndio wale waliochukuliwa!.
Pasco
Usiwe na wasiwasi kabisa, watarudishwa tuu kwa sababu si ni tumewaazima ili wawatazame tuu hamu yao ikiisha, wataturudishia!.Hv watarudishwa kweli Nchini?