Pozi la picha ya harusi

hawa watakuwa warina asali, maana ukianguka sijui utasemaje
 
Wapo kwenye makazi ya wassira
 
hahahahhahaaaa ana imganie atakavyo"faudu" hahahaaaaa bibie yeye kajawa na woga, halafu inaonekana jamaa katumi YASHICA
 
Katika raha na......
Iwe mtini au aridhini nitakufuata, mpaka kifo kitakapotutenganisha.
 
Ngoja wawachokore manyigu 'amavubi' huko mtini....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…