Pozi au....

Pozi au....

ngosha mchele

Member
Joined
Dec 7, 2014
Posts
71
Reaction score
40
Hili ni pozi au ndoa maisha bora kwa kila Mtanzania?
 
Attachments

  • 1418184626930.jpg
    1418184626930.jpg
    19.6 KB · Views: 757
Hapo kojo la usingizini likimtoka kwenye kinu halafu ndio kinatwangiwa msosi wa familia.
 
Hapo kojo la usingizni likimtoka kwenye kinu halafu ndio kinatwangiwa msosi wa familia.

Maa samahani salamu huwa haigombi isipokuwa neno tu na leo nimependa nikusalimie Chalama alaikum na topic zako huwa nazipenda sana na mungu akujalie maisha marefu kasante
 
Maa samahani salamu huwa haigombi isipokuwa neno tu na leo nimependa nikusalimie Chalama alaikum na topic zako huwa nazipenda sana na mungu akujalie maisha marefu kasante

naona umemsifia hata hajakukosoa uandishi wako...
 
Dogo amechoka sana kwa utundu mpaka amepitiwa na usingizi
 
Back
Top Bottom