Powerbank ipi ni nzuri?

Alpha Blondy

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
282
387
Wakuu niwape salamu wote,
Naomba kuuliza powerbank ipi ni nzuri, nahitaji msaada wenu,
Nataka ninunue ila sijajua brand gani inafaa zaidi,
Bajeti yangu ni 30,000
 
Yupo jamaa mmoja anajiita high life tanzania anapatikana facebook anauza power bank za xiaomi orgn kabisa . bei yake 10000mAh Anauza kwa 50K na 5000mAh anauza kwa 35K muone anasafirisha mpk mikoani .kama hiyo hapo down
IMG-20180309-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom