Ubarikiwe sana Mkuu!
Lakn bado nina maswali kadhaa kabla sijafanya uamuzi; Mm si mzuri wa mambo ya umeme, hivyo nitafurahi kama utanifafanulia katika Lugha rahisi yenye mifano kadhaa; Matumizi makubwa ofisini kwangu mm ni kuendesha computers kadhaa (kama20) na security cameras, na ndiyo haswaa za muhimu ambazo ningependa watu wasipate kisingizio cha kuchelewesha kazi, leave alone the ACs, Refrigerators and the like; Kulinagana na uzoefu wako, ni package ipi ambayo itanifaa, na umeme wa package hiyo unaweza kunilinda kwa muda gani kabla haujaisha (kama nimezima kila kituisipokuwa PC 20)? Mimi niko mkoani, Je ni kazi ngumu sana kuset up hizo system, kiasi kwamba siwezi kutafuta fundi wangu wa mtaani akatumia manual zenu kunifanyia instalation? Natanguliza shukrani Mkuu!