Power cuts? - We have the solution!

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,905
3,240
Invertor.jpg Power cuts? - We have the solution!
 

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,292
771
Mze Poji apo umeniguza mkuu, lakn umeshindwa kdogo kufikia malengo; Specifications za bidhaa, bila kusahau bei ya kila bidhaa, hata anwani haujaweka mkuu wangu, daaaaah! Tafadhali mkuu, huku tunakufa na kiu!!!!!
 

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,905
3,240
scott power inverter

scott power by luminous india 800 va inverter @$usd.180
installation charges : Tshs.80,000


scott power by luminous india 1500 va inverter @$usd.250
installation charges : Tshs.100,000


scott power by luminous india 3000 va inverter @$usd.820
installation charges : Tshs.150,000


scott power by luminous india 6000 va inverter @$usd.1,450
installation charges : Tshs.180,000


battery for inverter

scott power 12v - 150ah maintenance free, deep cycle battery $usd.275
1pc for 800va inverter
2pcs for 1500va inverter
4pcs for 3000va inverter
10pcs for 6000va inverter

scott power 12v - 200ah maintenance free, deep cycle battery $usd.380
1pc for 800va inverter
2pcs for 1500va inverter
4pcs for 3000va inverter
10pcs for 6000va inverter
 

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,292
771
Ubarikiwe sana Mkuu!
Lakn bado nina maswali kadhaa kabla sijafanya uamuzi; Mm si mzuri wa mambo ya umeme, hivyo nitafurahi kama utanifafanulia katika Lugha rahisi yenye mifano kadhaa; Matumizi makubwa ofisini kwangu mm ni kuendesha computers kadhaa (kama20) na security cameras, na ndiyo haswaa za muhimu ambazo ningependa watu wasipate kisingizio cha kuchelewesha kazi, leave alone the ACs, Refrigerators and the like; Kulinagana na uzoefu wako, ni package ipi ambayo itanifaa, na umeme wa package hiyo unaweza kunilinda kwa muda gani kabla haujaisha (kama nimezima kila kituisipokuwa PC 20)? Mimi niko mkoani, Je ni kazi ngumu sana kuset up hizo system, kiasi kwamba siwezi kutafuta fundi wangu wa mtaani akatumia manual zenu kunifanyia instalation? Natanguliza shukrani Mkuu!
 

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
10,249
12,899
Power cuts? - We have the solution!

Very interesting Mkuu, lakini mimi huwa siafiki na watu wanao dai kwamba inverter zina generate a pure SINEWAVE yenye fundamental frequecy bila kuwa na HARMONICS, hii hawezekani kufuatia mbinu zinazo tumika kubadilisha umeme kutoka DC kwenda AC - nataka hapo muwe mnakuwa wakweli. Na mueleza bila kuficha ni madhala gani ( long term) ukitumia umeme wa invervters kwenye baadhi ya vifaa vya nyumbani. Ni hilo Mkuu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom