Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,571
- 4,820
Mahojiano yameanza dk.20 na.yanaendelea live power breakfast ua.clouds na Tundu lissu. Tutajazia nyama yanavyoendelea
Ni lini hao Clouds wameanza kuwa wema kwa wapinzani? hivi hata Press conference za upinzani huwa wanatokea kweli?Mahojiano yameanza dk.20 na.yanaendelea live power breakfast ua.clouds na Tundu lissu. Tutajazia nyama yanavyoendelea
clouds hovyoo, bure kabisa!Matangazo mengi sana
Naona wamesema kuanzia saa 3 mpaka saa 4 ndo watapiga mfululizo bila matangazo maana watabakia youtube pekee, muda wa radio utakua umeshaishaclouds hovyoo, bure kabisa!
Lissu kalisema hili hapa mwishoni na kawapongeza sana kwanuamuzi wao huu wa leoNi lini hao Clouds wameanza kuwa wema kwa wapinzani? hivi hata Press conference za upinzani huwa wanatokea kweli?