Power black out in Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Power black out in Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BLUE BALAA, Jun 19, 2011.

 1. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jana Arusha umeme ulikatika kuanzia saa 12 jioni ,mpaka saa moja asubuhi na leo tena umeshakatika nikawapigia simu TANESCO namaba 0732-979280 wakaniambia kwamba ni mpaka kesho ndo utarudi.

  Mimi sielewi hivi hawa jamaa wametoa taarifa ya allocation? Je huu ni mgao upi tena kwani tayari Symbion wanazalisha umeme.
   
 2. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ndio mkome na li ccm lenu, eti zimwi likujualo nani kakudanganya hawa wanakula mpaka mbegu ni hatari kuliko maelezo
   
 3. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Baba mzazi akikuletea gozigozi unaishia unaachanana nae sembuse li ccm lenu eti mng'ang'ania eti ndio kilileta uhuru.!!!HAKUNA RUHUSA KULALAMIKIA MABAYA YA HILI LIBABA LENU CCM,Kaeni nalo hata likiwanyea usoni piga kimya.si mnataka amani???kula amani yako gizani master.!!
   
 4. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,270
  Likes Received: 3,001
  Trophy Points: 280
  Poleni sn..
   
 5. std7

  std7 JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Mrema (ccm) alipokuwa mbunge wa jimbo la arusha mgao tuliusikia redioni tumemchagua Lema wa (cdm) mgao ni kila siku.
   
 6. Rocket

  Rocket Senior Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  pole sna wakuu ndo nchi yetu ilivyo
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  mweyewe yuko malesyiaaaaaaaa
   
 8. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  duh arusha mgawo umezidi kila siku jana ulikatika mchana umeshinda haupo ukarudi jioni now umekatika ka ni kutukomoa Arusha mmetupata mnatutesa si mchezo
   
 9. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sio kote hakuna umeme, nafikiri kuna hitalafu kwani una katika na kurudi tofauti na mgao. Tatizo ni miundo mbinu duni na uzalishaji wa umeme kuna politic badala ya kazi. Tuna mwendo mrefu kufikia maendeleo
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Naona wamerudisha baada ya kuona hii thread
   
 11. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Mgao wa umeme hapa Arusha umekuwa kero na janga kubwa la kiuchumi kwa wajasiriamali wadogo haswa baada ya mgao kuwa wa masaa zaidi ya 16 kwa siku ya masaa 24 ktk baadhi ya maeneo tu. TANESCO Arusha imekuwa ikitoa mgao kwa baadhi ya maeneo tu huku maeneo mengine kama ya Uzunguni, Mjini katikati, Unga LTD, Njiro, Moshono wakiwa hawana mgao hata siku moja. Maeneo ambayo yamekuwa ni waathirika wakubwa wa mgao ni maeneo ya pembezoni ambayo ni Ngaramtoni, Baadhi ya sehemu za Sakina, Kata yote ya kimandolu, Kwa mrefu, Tengeru, Usa river, KIA hadi Mererani. Maeneo hayo yameathirika vibaya na mgao wa kila siku huku maeneo mengine yakiishi ulimwengu mwingine kabisa hali ambayo imewagawa wakazi wa Arusha kati makundi ya walio nacho na wasiokuwa nacho. Licha ya kuwepo mgao wa kila siku tangu November 2010, wananchi wamechukizwa zaidi na mgao wa wiki hii Jumamosi kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 7 usiku na Jumapili kuanzia saa 12 jioni hadi saa 2 Asubuhi ya jumatatu. Chuki dhidi ya Serikali inaongezeka na wananchi wanaona wanachokozwa na serikali na ufa kati ya wananchi na serikali inaongezeka siku hadi siku . Shughuli za uzalishaji zimeshuka kwani hamna mtu anaweza tena kufanya shughuli kama kuchoma grills, salon,saw mills,Mill machine, kufuga kuku, kazi za kutengeneza vifaa vya electronics n.k. Hii imepelekea watu kupoteza ajira na kubaki Kijiweni.

  Kilio cha Wananchi ni kuwa TANESCO wafanye huu mgao fairly ili kufanya makali yapungue haya maeneo yaliyozoeleka na badala yake siku na masaa ya mgao angalau yapungue ili watu waweze kufanya shughuli za uzalishaji.
  Tunatoa na tunazidi kutoa kilio chetu kwa TANESCO wajue kwamba sisi tunaopata mgao tunaumia sana na kwa serikali ijue kwamba watu wamechoka na itafika mahali wananchi wataitaka serikali iseme wazi kama sehemu hizi za mgao ni Tanzania au ziko Somalia.

  Tunajua TANESCO Arusha ikitumia busara mgao huu ukafanyika fairly ungeweza kupunguzwa hadi kufanyika mara 2-3 kwa wiki kama wakazi wa Uzunguni, Mjini katikati, Unga LTD, Njiro, Moshono, Monduli na maeneo mengine ambayo umeme haukatwi kabisa.
  Meneja wa TANESCO Arusha na Mkurugenzi wa TANESCO Mr. Wiliam Mhando please hili suala liangalieni hili kwani ni kero mno mno.
   
 12. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Toka juzi saa 12:00 jioni Umeme ulikatika ukarudi jana asubuhi na jana 12:00 jioni ukarudi Leo asubuhi hasa maeneo ya kijenge njiro kimandolu.
  Walisema mgao umeisha naona sasa ndo imekuwa mbaya zaidi lo! Nchi hii sijui hatma yake ni mini?
   
 13. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 711
  Trophy Points: 280
  nimefika arusha last week kwa kweli hata kazi hazikwenda vizur.......unakuja dk 15 unakatika masaa 6.....mara haupo mchana mzima hadi jion saa kumi na mbili.........

  yaani kwa kweli ni balaa.......
   
 14. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #14
  Jun 20, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hata mkitutesa kwa giza hatutarudi CCM
   
 15. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #15
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280

  Kwani Lema ni mfanyakazi wa TANESCO AU Mkurugenzi wa hilo Shirika. Ukafungue kinywa kwanza ukimaliza ndo urudi hapa la sivyo naona unachafua tu mazingira hapa.
   
 16. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #16
  Jun 20, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Mbona njiro nako hamna umeme toka jana. Au ni njiro ipi unasemea?
   
 17. k

  kibugumo JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 1,347
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Tatizo la nchi yetu kila kitu ni siasa,inakuwaje kila kukicha ni mgao wa umeme?miaka hamsini ya uhuru kila kitu shida.
   
 18. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Mimi ni mwaathirika mkuu na hili limetutesa sana .TANESCO ARUSHA wanatutesa nafikiri wananchi wa Arusha wamechoka na nina uhakika hali ikiendelea hivi basi siku si nyingi raia wataingia barabarani na hapo ndio mikoa mingine itapokea na hali hii ikifika ujue JK ndo atazinduka usingizini na kuwa serious. Mbaya zaidi huu mgao hauna ratiba wala tangazo bali unakatika ghafla na unakaa si chini ya 12 hours.
   
 19. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #19
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Maajabu jana wagonjwa Hospitali ya AICC walirudishwa nyumbani na kuambiwa Mpaka umeme utakapo rudi ndipo watakapotibiwa,... Sijui kwa aliyekuwa mahututi hali ilikuwaje
   
 20. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  For sure this is Too Much now, washaukata tena
   
Loading...