AgentX
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 1,651
- 1,700
sijaiona hio habari na sijui kama ni kweli au la, ila most of powerbank tuseme 99% ni fake. kampuni kubwa nyingi hazitengenezi powerbank na kama zinatengeneza utakuta zina mah ndogo sana around 2000mah au zikizidi sana ni 5000mah.
vitu vya kuangalia kwenye battery/powerbank vikubwa ni viwili ambaavyo ni
1. capacity- hii hupimwa kwa mah na jinsi inavyokuwa kubwa ndio capacity inavyokuwa kubwa
2. ubora wa cell - hichi ndio cha muhimu na ndio ni kigumu kukijua, ni cell gani zimetumika kutengeneza hio powerbank? huwezi kuta imeandikwa popote pale hivyo unanunua na kueka bomu ndani.
ushauri, kama unanunua powerbank na una laptop ni bora tu utafute battery nzuri ya laptop then uitumie laptop kama powerbank, laptop yako itakaa sana na chrge na hutapata shida ya kuchaji simu umeme ukikatikA
CHIEF MKWAWA nafahamu somo. Kuhusu chaji. Ulitupa somo hilo humu. Mimi ninayo ya apple.... 4000mAh. Ila hii ni fake. Nataka ninue mpya je zipo official zipi? Ukiachana na PUKU
matumizi pia..., utawekaje power bank mwilini mwako wakati ikichajiwa au unachaji simu yako..?!
Power bank ni muhimu sana kwa smart phones ambazo haziwezi kuhimili kuweka chaji kwa muda mrefu au kama simu ina matumizi makubwa ambayo yanapelea chaji kuisha haraka na pengine hauko karibu na chanzo cha kuchajia.
Pia kwa umeme wetu wa bongo usioeleweka inasaidia kuchaji simu kwa mara kadhaa kabla ya umeme kurudi!
KisomaX nokia mwenyewe kaacha kutengeneza simu wao hizo battery wamezipata wapi? hizo battery ni 800-1000mah zipo simu siku hizi zina hadi 5000mah na zipo hadi za makampuni makubwa zenye 4000mah hivyo why ununue simu kama hio?
pia wingi wa battery haumaanishi simu kukaa na chaji, kuna simu zina 2600mah zinazipita simu zenye 4000mah. ukipata simu ambayo ipo optimized vizuri kama sony xperia z3c tabu yote hio itaisha