Poverty- watu hawajawahi kufungua bomba!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,211
Reaction score
14,794
kuna mamilioni ya watu tanzagiza tangia wazaliwe hawajawahi kufungua bomba la maji, hapo wala sijaongelea switch ya umeme kuwasha taa.

let that sink in, karne ya 21 mtu hajui jinsi ya kufungua bomba la maji na hajawahi kuliona, na siyo mtu mmoja mamilioni ya watu, thats how poor na backward we are, lkn hakuna ambaye hajawahi kuona piki piki made china …
 
Jukumu la serikali kwa niaba ya watanzania, wananchi wanalipa kodi ili haya yafanyike sio wanasiasa na ulaghai wao, hao wanatafuta ajira tu kwa ajili ya familia zao
 
Na si jukumu la mwanasiasa tu kuuondoa huu umaskini. Ni jukumu la kila mtanzania collectively.

how, siyo jukumu la mwanasiasa? jukumu lake ni lipi sasa? analipwa kwa kazi gani? …
 
Siyo jukumu la mwanasiasa tu.... nikimaanisha ni jukumu la mwanasiasa na wewe, mimi na yeye.

Maendeleo ya nchi sio kutuliza mpira. Team work inahitajika.

Huyu mwanasiasa tunaedhani ni Mungu mleta maendeleo anatoka katika familia iliyomlea vizuri! [Maadili yanajegwa nyumbani]
Anatoka shule aliyofundishwa na mwalimu aliyefanya kazi yake vizuri!

Jamii zilizopiga hatua kimaendeleo zilipata wanasiasa wazuri na jamii pia...ndiyo maana unaona uvumbuzi mwingi ulifanywa na watu wa kawaida sio wanasiasa. Na haya ndiyo Maendeleo ninayoyaongelea.
 
kuna mmoja kati ya maraisi wa tanzagiza aliwahi kuulizwa huko nje “kwa nini tanzagiza bado masikini? “ akajibu hata kwamba hata yeye hajui kwa nini nchi yake ni masikini, iko hapa jf unaweza itafuta …
 
Naikumbuka.
Kwanini unadhani sisi ni maskini?
 
Na si jukumu la mwanasiasa tu kuuondoa huu umaskini. Ni jukumu la kila mtanzania collectively.
Em elezea ni jukumu la mwananchi kivipi kutoa umeme zaidi ya kilomita 500 kufika kijijini, hivyo hivyo elezea ni jukumu la mwananchi kivipi kujenga miundombinu ya maji au kuvuta maji zaidi ya kilomita 200 ikiwa huyo mwananchi jukumu lake la awali la kulipa kodi anatimiza?

Sijui mnafanya makusudi au mnalipwa kuandika hayo mnayaandika!
 
Kila nikiwaza haya mambo, hasira zinapanda....
 
kuna mamilioni ya watu tanzagiza tangia wazaliwe hawajawahi kufungua bomba la maji, hapo wala sijaongelea switch ya umeme kuwasha taa.

let that sink in, karne ya 21 mtu hajui jinsi ya kufungua bomba la maji na hajawahi kuliona, na siyo mtu mmoja mamilioni ya watu, thats how poor na backward we are, lkn hakuna ambaye hajawahi kuona piki piki made china …
CCM chanzo cha majonzi
 
Naikumbuka.
Kwanini unadhani sisi ni maskini?

ooh nitakwambia kwa nini sisi masikini, sababu kuu ya kwanza ni kwamba baada ya ukoloni tulifundishwa na kuaminishwa kwamba Christians waliotutawala na kuleta mambo mengi mazuri ambayo kabla hayakuwepo kwamba ni adui na wanyonyaji.

hivyo baada ya uhuru jitihada kubwa zilifanyika kureverse western Christian way of life na kuleta uafrika ambao ulikuwepo miaka nenda rudi kabla ya Christians kuja na haukutupeleka popote, hilo ni kosa kubwa na linatugharimu mpaka leo hii kwani uchumi wote wa dunia unafwata Christian (western) way life ina maana we swim against the tide sasa unlike waasia ambao walikuwa wanajifunza kwa wazungu ili waelewe kwanini wazungu waliwazidi nguvu na kuwatawala sisi tulijikita kwenye ku-reverse na kutaka uafrika kosa ambalo hata ak analifanya leo hii na anc wanataka kufukuza wazungu na kuweka waafrika.

hivyo moja kati ya sababu kuu ni hiyo na downspiral ilianzia hapo, tulibomoa kila mfumo tuliuita wa kikoloni na kuweka wa kiafrika mfano wakati wa Christians haikuruhusiwa kujenga nyumba kabla ya serikali kuweka miundo mbinu kama barabara, maji, umeme na centralized sewage system sisi tukaona ni ukoloni tukafuta leo hii dar karibia yote unplanned na slums, kwamba mtu kwenda kujenga kwa mfano maeneo yasiyo rasmi huo ni “utu” na ukimzuia na kumuondoa wewe ni katili na dhalimu unaleta “ukoloni”.

mzee kingunge alilielezea vizuri sana hili, alisema waasia wanajifunza mbinu kwa nini wazungu waliwazidi na kuiga sisi tunaona wazungu ni maadui na kuwapinga lkn viongozi wanaowaita wakoloni wabaya wao na familia zao wanaishi maisha ya kizungu lkn wanawaambia wengine mzungu mbaya.

hivyo hiyo ni sababu mojawapo kubwa kwa nini sisi ni masikni na hakuna maendeleo wakati asia wanaendelea …
 
kuna mamilioni ya watu tanzagiza tangia wazaliwe hawajawahi kufungua bomba la maji, hapo wala sijaongelea switch ya umeme kuwasha taa.

let that sink in, karne ya 21 mtu hajui jinsi ya kufungua bomba la maji na hajawahi kuliona, na siyo mtu mmoja mamilioni ya watu, thats how poor na backward we are, lkn hakuna ambaye hajawahi kuona piki piki made china …
NO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.
 
kuna mamilioni ya watu tanzagiza tangia wazaliwe hawajawahi kufungua bomba la maji, hapo wala sijaongelea switch ya umeme kuwasha taa.

let that sink in, karne ya 21 mtu hajui jinsi ya kufungua bomba la maji na hajawahi kuliona, na siyo mtu mmoja mamilioni ya watu, thats how poor na backward we are, lkn hakuna ambaye hajawahi kuona piki piki made china …
Ni aibu sana, kwenye nchi yenye mito mingi na imezungukwa na maziwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom