Poverty in USA

Ni kweli mkuu nipo qatar hapa hawa jamaa wana pesa aise? Halafu don care kinoma, hawajali wewe ni mzungu mwafrika mchina ..yani wao wako na mambo zao tu.
Basi huko ni kwa kwenda kuishi.Vipi taratibu zao zikoje ukitakwa kwenda kuishi huko??.
 
Ukiwa mlevi hela za mtaji utalewea mipombe wakati mtu ambae sio mlevi kupotea tu hizo hela sijui kwa sababu zipi hela zitapotea
Fanya research vizuri wanywa pombe za gharama wengi ni watu gani?,na wanywa soda wengi ni watu gani kisha urudi hapa jukwaani.
 
unaposema maskin kwneye hizo nchi utakiwa uangalie umaskin wao wako down kiasi gani.

unaweza kuta maskin wa huko huku tukamuona mwenye kipato cha kati.

Mkuu hizo nchi habari nyengine, wazungu wananawa kabisa.

UAE Kima cha chini cha mshahara kwa mzawa haipungui m 6 ya kibongo kwa mwezi. maskini wa UAE anamiliki ferari bila ya tabu kabisa.
 
Halafu utaona mijitu inasema bora ni "storway" USA maisha ya bongo hayaeleweki!!!
yes after all america ni moja ya nchi zenye uchumi mkubwa dunian.
always lazima kuwe na tabaka la maskin na tajiri. haijalishi hiyo nchi ina hela kiasi gani.
 
Back
Top Bottom