Poverty creates the illusion that money is valuable

Poverty creates the illusion that money is valuable

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
18,913
Reaction score
14,675
Wazazi wetu walifanya kazi sana na wakalipwa na noti zenye picha ya nyerere, mshahara wa mtu mzito enzi izo ilikua buku, kwa mahesabu ya haraka haraka kwa pesa ya leo ni ~500k

kwann natoa huu mfano

miaka 20 mbele kuna watu walitunza izo pesa, mitaani bado zipo lakini hio buku utaikubali kama mshahara saaahv? jibu ni hapana! mfano huu unaelezea jambo zito ambalo binadam wengi hawalitambui, UCHUMI ni nadharia ya jamii na sio thamani halisi ya kazi, tukichukua mfano huu kwa kazi ile ile aliokua anafanya mtu miaka ya 80 akaileta miaka ya 2000 basi hio buku nadharia yake ni haina thamani sawa na kazi ninayofanya, miaka 15 mbele hizo pesa unazofanyia savings ama kuzipigania kwa jasho itakua ni kituko kwa vijana wa miaka ya 2050

Ni aibu kuona mtu anagombania ajira ama kutafuta ajira kwa nguvu sana, maisha yana thamani kubwa sana na ni ya mda mfupi, unachokipigania sana kwa kujinyima usingizi na mda wa kukaa na familia thamani yake huisha kwa mda mfupi sana, vijana epukeni mtego wa kupenda ajira, tengeneza thamani kupitia kazi yako, kama utaweza kutengeneza kazi yako binafsi kwa mfano kama utakua una biashara ya kuuza chakula basi hata miaka 30 mbele thamani ya kazi yako ipo pale pale utaamua uchukue noti zenye zero ngap kutokana na huo mda, pia thamani hio ni rahisi kuhamisha kwa watoto wako, tujipende PESA haiwezi kuhesabika kama thamani halisi ya uhai na nguvu zako
 
Sasa hivi tuna mambo mengi na ndiyo yanapelekea stress ,yaani pesa zimefanya manipulation kila kosa; mapenzi pesa ,kazi mpaka utoe pesa ,heshima pesa ,ubinadamu umeisha kabisa
 
Sasa hivi tuna mambo mengi na ndiyo yanapelekea stress ,yaani pesa zimefanya manipulation kila kosa; mapenzi pesa ,kazi mpaka utoe pesa ,heshima pesa ,ubinadamu umeisha kabisa
"poverty isn't what you do to yourself, it is what the powerful do to you"
 
Mambo mengi sana hayaja fundishwa kuhusu PESA, Paper money and coins ni "Dense or Unclear expression" tu ya Fedha harisi.....

Na kuna namna nyingi Emotionally watu wanafanya daily ku-lisha ile illusion of Paper money bila kujua, kitu ambacho kinahakikisha uwepo wake kwenye maisha yako

Wealth ni tool tu mtu unayoweza kutumia kunyanyua miasha ya watu hapa duniani
 
ulishawahi kujiuliza kuna jamii hazina shida na pesa na znaishi vizuri kabisa, in terms of modern utaasema ni maskini but wameweza kuishi bila pesa, hivo basi uzi umelenga kwenye kutengeneza thamani zaidi ya pesa
 
Unataka kusema maisha ni ubatili???
hapana maisha yana thamani sana ila thamani ya maisha tunayopambania ndo batili, ni sahihi kusema serikali haina shiida na pesa bali shidia yake kubwa ni watu wafanye kazi ambapo ndo thamani halisi ya maisha ipo apo
 
ulishawahi kujiuliza kuna jamii hazina shida na pesa na znaishi vizuri kabisa, in terms of modern utaasema ni maskini but wameweza kuishi bila pesa, hivo basi uzi umelenga kwenye kutengeneza thamani zaidi ya pesa
Sijakuelewa vizuri......
Lakini jamii kama maasai au hadzabe na wengine naona still wana kosa kitu furani kwenye maisha yao.

Money is very good thing kwakweli I love it, Fedha inaleta mambo yote mazuri utakayo taka kwenye maisha yako

Ok fine kama mtu hujui chochote kuhusu hizi pesa iwe sarafu au karatasi unawezaje kusafiri kwa urahisi na raha mustarehe au kula vyakula vizuri vyenye afya or kuishi mahala pazuri

POINT ni kuitambua kwa undani Asili ya Pesa na umuhimu wake kwenye maisha yako lakini si kui'kanusha or kui'kana completely
 
topic sio usiwe na pesa nmekazia tu kwamba kuna jamii znaishi bila pesa na znaishi vizuri, point ni thamani ya maisha na kuitumikia, ukisoma apo nmesema unaweza kutengeneza thamani kupitia kazi na ukairithisha hata kwa watoto ndo point ya uzi
 
Ukiweza kutokubali kuwa monetized mambo muhimu you can be free from on going process.

Mfano Afya, imekuwa monetized , furaha , mahusiano n.k.
 
Watu wagombanie nini zaidi ya kazi? Inawezekana una hoja ila kuiwasilisha ndo huwezi. Siku nyingine ukiwa na hoja mcheki komredi Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa wakusaidie kuiwasilisha. Wao ni waandishi wazuri.
nmelezea vizuri apo, tengeneza thamani inaodumu nmetoa mfano wa mtu alietengeneza biashara ya chakula ile ni thamani inaodumu
 
Binadamu ni kati ya viumbe wa hovyo kabisa kuwahi kutokea hapa duniani.

Hapa duniani kuna utajiri wa kutosha kabisa kutokomeza umasikini na kuwafanya binadamu wote waishi "decent lives" - yaani wapate milo mitatu mizuri, nyumba nzuri, huduma za afya, elimu nk.

Tatizo ni kwamba 99% ya utajiri wote duniani upo mikononi mwa 1% tu ya watu! Na hao 1% hamna chochote cha maana wanachoufanyia zaidi ya kuuchezea tu. Na dunia inaona ni sawa. 🙁
 
mambo hayako ivo, utajiri wa hao 1% sio pesa bali ni thamani, however bila matabaka maisha hayawezi kwenda
 
Modern society ndio inaishi kwa umuhimu wa pesa. Hunter gatheres au pastoralist na wengineo hawaoni lazima. Lakini ujue kuwa modern society pesa ni kitu halisi kinachobeba thamani na chenye nguvu kutenganisha matajiri na maskini

Moja kati ya engo muhimu sana kuiangalia katika jamii za kisasa ni utofauti wa kijamii hasa kwenye suala zima la mali (property) na utajiri (wealth). Kuna mtu leo hana nyumba anayomiliki lakini tajiri kuliko mwenye nyumba pale goba
 
Back
Top Bottom