Kuna mtu ana tabia kama yako, tatizo yeye akimwambia mtu amchukulie hela kwa namna unayochukuwa wewe utamsikia akisema...... CHUKUA ZOTE BAKISHA YA KUTUNZA AKAUNTI TU..... sasa kwa mtazamo huu, kupoteza ATM card hakuna maana
Siyo lazima rafiki yako ndiye akuhamishie pesa kwenye simu yako, wewe mwenyewe waweza kujihamishia na kuendelea kula bata bila shida, hauhitaji hata kuwa na ATM card, lakini kwa taarifa yako kuwa na pesa kwenye simu ni mbaya zaidi kuliko kuwa na ATM cards. Hii ni kwa sababu sio bar zote ziko karibu na ATMs, lakini hebu angalia kila bar siku siku hizi kuna vibao.....Unaweza kulipa kwa tigo pesa hapa........sasa fikiria uko bar na marafiki zako 5 Jumamosi saa 10 jioni, una Tshs. 10,000,000,000/= kwenye account ya simu yako ya tigo, pale counter kuna kibao kinasoma ....Tigo Pesa Accepted Here..........
nilisoma somo langu baada ya kupoteza a.t.m card, kwa hiyo sitembei na hiyo line yenye pesa, natembea na cash tu, ikiisha, imeisha...unarudi kulala
Najuwa ujana wa kugegedana ndo umekupitia.... Vipi weekend hii...???Ujana wa kunywa pombe na kesho sijui inakuwaje acha unipite tu aisee......,
Najuwa ujana wa kugegedana ndo umekupitia.... Vipi weekend hii...???
Hahahaaaaaaaaaaa! That was then! This is now! Saivi nimezeeka! Ile ilikuwa BAD COMPANY!!!!!!!!
weekdays huwa nazipotezea mara nyingi
hah hah...who would want to take their chance on that,? you have a HISTORY..halafu kuna mtu anasema eti "hata kama mke wako" ,..seriouly.! some people just can't read between the lines..is there like a "class" for"special need people" for reading between the lines.
THE DEVIL IS NOT SO BLACK AS HE IS PAINTED!!!!!!!!!!!!!!!!! That HISTORY is full of speculations! You not doing the sister right!!!!!!!!!!! Nialike hata tumalizie MPESA BALANCE kabla hujapoteza na Pass word ya Mpesa! LOL! Show your challange spirit and do Chelsea FC proud!
i always prefer soft beers, hiyo KINANA ni kama lugha ya picha tu....
first round on me.
timamu haswaa
.. .......kama nalipwa na T.B.L