Pota

Pota

Joined
Dec 16, 2018
Posts
23
Reaction score
11
Mambo vp wana jamii forum,mwenye ujuzi na kazi ya pota mlimani atupe madini upande wa malipo kampuni wanalipaje
 
kwa mlimani mkuu inategemea na kampuni gani unapanda nayo ila wanalipa kuanzia 10k ila ofisi za pota pale wameandika unatakiwa ulipwe 25k per day
 
cha msingi ni kapuni tuu mkuu ila mapota wengi wanapiga pesa kwenye mboneka man ras.
 
Back
Top Bottom