Posts za ualimu!!!!!!! Hivi kuna second selection? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Posts za ualimu!!!!!!! Hivi kuna second selection?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Prince Hope, Aug 2, 2012.

 1. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hi Wana jamvi, nimeperuzi website ya ministry of education na kutazama post za ualimu! Wapo wengi ambao majina hayaonekani/hawakuchaguliwa.

  Je, kuna utaratibu wa second selection?
   
 2. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,812
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  ni kweli, kuna dogo hapa kitaa kaachwa ana point 26 kaachwa wenye 28 wengi wametoka
   
 3. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  KAMA UNATAKA DIP ni PM, Ila kama ni grade A sahau. hata hiyo second sidhani ila kama wataka kusoma dip nipm
   
Loading...