PreGE2025 POSTPONED (PP): John Heche anazungumza na Watanzania kupitia Waandishi wa Habari, Dar es Salaam, Julai 17, 2025

PreGE2025 POSTPONED (PP): John Heche anazungumza na Watanzania kupitia Waandishi wa Habari, Dar es Salaam, Julai 17, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Bara, John Heche atazungumza na Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam, waandishi wote wa habari mnakaribishwa.

View: https://www.youtube.com/watch?v=OqCLdOKXQOk

Screenshot 2025-06-17 124038.jpg

Pia soma ~ Polisi wazuia press ya Heche Dar
 
Heche na mwenye hotel wakamatwe kwa kukiuka amri ya mahakama iliyozuia shughuli za chadema. Pia afisa habari wao sijui anaitwa Brenda Fassie akamatwe
 
Heche na mwenye hotel wakamatwe kwa kukiuka amri ya mahakama iliyozuia shughuli za chadema. Pia afisa habari wao sijui anaitwa Brenda Fassie akamatwe
Akamatwe kwanza samia mwenye PHD HEWA TOKA JALALANI.
Hahahaha.
Hongera mpina umepiga kwenye titi
 
Back
Top Bottom