Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,552
Dhana ya kusema kuwa hakuna ulazima wa kuweka sawa mfumo au kuweka katiba mpya ni kosa la kwanza la unachosema nani mwenye dira ya Taifa.Mkuu Rev. Kishoka, ni kama ulishatoa hukumu katika post yako ya kwanza, kisha ukaja kuuliza tena kilekile ulichotolea hukumu.
Wakuu, nafikiri sasa itakuwa imetosha kama ni kujadili tu pasi na kuchukua hatua juu ya DIRA YA TAIFA, tumeimba sana hili. Ninafikiri sasa ni wakati wa Kutafuta njia ya Kufikia Dira Ya Taifa letu. Limetugharimu vya kutosha.
Yamesemewa matendo ya serikali kuwa yanalenga Uchaguzi Mkuu wa 2020, naomba kuhoji haya.
Je, hayo matendo yana ubora wa kuibeba serikali ya CCM vile tunavyofikiri?
Kama yana Ubora ni upi, na kwanini tubeze kudai yanalenga uchaguzi na si ustawi wa umma? Yangefanyika wakati gani ili tusiyahusishe na uchunguzi?
Na kama hayana ubora, yatawezaje kuibeba CCM 2020?
NA KAMA YATAWEZA LICHA YA UOZO WAKE, IPI I NAFASI YA SANDUKU LA KURA KUFIKIA USTAWI WA UMMA? je, hiki si KIINI MACHO cha kwanza kabla ya upuuzi unaofanywa na vyama vyetu?
Sanduku la Kura halibebi dhamana ya Ustawi wa Umma, limejaa uroho wa madaraka, ubinafsi na wizi wa rasilimali za umma. Wanaanza watu kwanza kabla ya Katiba, sera na sheria, je wapo? Unaanzaje kuwapata?
Shamba linavunjwa, si magugu wala migomba inayosimama, hakuna kitakachojisimika imara si uhalali wala ubatili, vyote vina nafasi sawa ya kuanza upya.
Ni nani mwenye wajibu wa Dira ya Taifa?
Anaita sasa.
Mfumo usiofanyiwa tathmini ni kosa tunaloendelea kulitenda.Dhana ya kusema kuwa hakuna ulazima wa kuweka sawa mfumo au kuweka katiba mpya ni kosa la kwanza la unachosema nani mwenye dira ya Taifa.
Mkapa alipotumia mamlaka bila kuwa checks and balances imara na huru,alijifanyia mambo tukalaumu. JK naye akaja na mkumbo huohuo wa madhaifu ya mfumo, inferior and compromised checks and balance naye akajifanyia anavyotaka kisa na mamlaka.
We are seeing the same pattern repeating itself with Magufuli, mbaya zaidi he is very open kuvunja na hata kudharau umuhimu wa check and balances (Katiba, Bunge, Mahakama) na kuzuia mazungumzo na tunachoshuhudia ni uimla na upambe ambaounatupeleka "ends justifies the means".
Dira ya Taifa imeshikiliwa Mateka na Rais na Washauri/Wapambe ambao wanaona mawazo na kauli zao pekee ndio muafaka na zinazohitajika kwa Taifa.
Wengine na opposing/different views, subirini muda wenu mtakapoingia madarakani kutawala!
Kwa hali ya leo, CCM na Rais Magufuli wanadai kuwa dhamana "waliyopewa" Kutawala inawapa absolute powers na unilateral decision making on behalf ya Watanzania.
Wengine tunaambiwa tusubirizamu yetu at sametime kuna suppression ya hali ya juu kuzuia opposing views and ideas to flourish.
Soma hata vitu vya kijamii kama Msiba wa Arusha jisni gani Serikali ya CCM imeamua kuwa na exclusive rights za maombolezo na rambirambi!
Rev. Kishoka,
Kwa bahati mbaya, this is the price we have to pay in the interest of maintaining a populist, charismatic leader in power. Isitoshe, its quite clear by now kwamba focus kubwa under this populist regime ni kushinda uchaguzi wa 2020 kuliko kuboresha maisha ya wananchi.
Kisera - Nchi bado haina dira, badala yake inaendeshwa kwa matamko. Kwa mfano, kipindi cha 2005-2015, nchi iliongozwa kwa matamko ya kasi mpya, ari mpya, nguvu mpya, huku baadae yakifanyika marekebisho kwa kuondoa neno mpya na kuweka neno zaidi. Awamu ya Tano, ikaja kauli mbiu mpya ya Hapa Kazi tu, ambayo basicallt ilitungwa na mtu mmoja siku moja, lakini leo ukiuliza wananchi wengi Dira ya taifa ni nini, jibu la ni HAPA KAZI TU! Hawana uelewa taifa lao linaelekea wapi. Hata kwa upande wa viongozi ndani ya chama tawala na hata baadhi ya mawaziri wenye dhamana ya sekta muhimu za uchumi wa nchi, ukiwauliza tunaelekea wapi kama Taifa, dira ni nini? Jibu la weng kama sio hapa kazi tu basi utasikia, tunajenga uchumi wa viwanda. Mbaya zaidi ni kwamba kwenye suala la kazi tu, kila kiongozi ana tafsiri yake. Kwenye suala la uchumi wa Viwanda, hakuna any meaningful attempt kubadisha the colonial structure. Tunaendelea kuhimiza uzalishaji wa mazao ya biashara for exports suala ambalo deepens country's external integration. Tuna madini mengi kama Dhahabu lakini hakuna dalili yoyote kwamba serikali imejipanga to sow the gold to transform our human, technological and productive capabilities. Iwapo fedha za kukopa tunazipoteza kwenye masuala yasiyo na tija kwa wananchi walio wengi, siku ikitokea tukapata fedha zetu wenyewe kutokana na madini na rasilimali zetu, motivation ya kuzitumia kwa mambo ya maana itakuwa ni ipi?
Hakuna any attempt to build an economic base inayohitajika for an independent national economy. Uchumi unaotajwa kuwa ni wa viwanda - uwekezaji largely emphasizes import substitution yenye kutegemea tekinolojia ya kuazima kutoka nje - inputs, spare parts nk. Uchumi wa Viwanda utageuka kuwa ni uchumi wa madalali na wajanja wachache ambao wataugeuza kuwa ni uchumi wa biashara badala ya uzalishaji. Madalali hawa are lined up kusubiria tender za kuleta vipuri and other inputs kutoka nje. In effect, serikali itaishia kufanya promotion ya uchumi tegemezi, wenye kuweka emphasis on consumption, na kupuuza production.
Serikali ya awamu ya Tano ingefanikiwa iwapo ingeanza kwa kuweka kipaumbele kwenye kuendeleza productive forces. Ingawa development of welfare services ni muhimu, ni lazima ifuate production, sio kutangulia production. Kwa maana rahisi - iwapo Kilimo chetu ni duni, basi viwanda vitaendelea kuwa duni, uchumi hautaweza kuzalisha vya kutosha, mapato hayatakusanywa ya kutosha to pay for welfare services.
Serikali hii ilitakiwa kuwa makini katika suala la internal integration of the economy kwa kuweka priority kwenye sekta ya Kilimo. This regime haven't been able to capture this essential pre-requisite for development, YET, it claims to seek for progress.
The regime is disarming the producers wakati huo huo ikitafuta sponsorship in the international community for projects designed to confer prestige rather than to achieve transformation. Kwa mfano, matumizi ya mabilioni kuendeleza mji wa Dodoma, Kununua Ndege kwa fedha taslimu badala ya kutumia fedha hizo hizo kuendeleza sekta za Elimu na Afya, ambazo ndio nguzo kuu for any modern economy.
Kitachojiri kati ya sasa na 2020:
Populist politics are very contradictory and short lived. They sharpen many other contradictions internally - contradictions between the People and top heavy state apparatus; Between the state and the nation (and this is becoming obvious as people are increasingly understanding that the State and Chama Cha Mapinduzi can no longer be held synonymously); contradictions between workers and employers (public sector) and so forth. The inability to arrest these contradictions have (inevitably) led to repressive measures by the government against its own people, for instance denying them minimal democratic rights. Even outside politics, none of productive forces and active social forces for instance peasants, workers, entrepreneurs, youths, women - are allowed to organize; Freedom of speech and freedom of press have now become a luxury;
Again, its the price we have to pay for maintaining a populist, charismatic leader in power.
Nimevutiwa na post yako.Hata hivyo ninaomba utushirikishe zaidi juu ya kile ulichoeleza.1. Anajaribu ku-implement game plan ya rafiki yake Kagame ingawa sasa anajikuta inamuwia vigumu kuitekeleza katika mazingira ya kwetu.
2. Anamuadmire Kagame jinsi alivyofanikiwa ku-implement miradi ya maendeleo pamoja na kunyamazisha aina yoyote ya upinzani.
3. Alifikiri mara tu akifanikiwa kudhibiti matumizi ya serikali, kupiga marufuku safari za nje n.k. basi moja kwa moja pesa zitamiminika za kumuwezesha kuendesha nchi kwa raha mustarehe. Lakini mambo yanaenda kinyume na matarajio ndio maana sasa hivi mpaka askari usalama barabarani nao wako busy kukusanya mapato!
Mpinga maendeleo ni nani, yanapingwa vipi?"TUJITEGEMEE, post: 22458293, member: 31026"]kwenye kunyamazisha wapinzani si kweli.
Wa kwetu ananyamazisha wapinga maendeleo hanyamazishi wapinzani! (..huwezi kusema nchi isusiwe kisiasa , kiuchumi, kidiplomasia na kisha tukakuita wewe mpenda maendeleo na mpinzani wa kisiasa).
Labda kama ulimaanisha unyamazishaji mwingine naomba utushirikishe.
Kutii sheria bila shurti ni haki ya mwananchi.3. Kwa nini hauoni kile anachokifanya ni jambo muhimu la kuimalisha nidhamu ya ulipaji kodi, na nidhamu ya kuimiza watu watii sheria bila shuruti?
Kususia Taifa tafsiri yake ni Kuzuia Misaada tu peke yake?Mpinga maendeleo ni nani, yanapingwa vipi?
Pili, Rais Magufuli alipoingia madarakani alikataa pesa za MCC akisema tumisaada tunadhalilisha
Kauli hiyo inakitu gani tofauti na ile ya kunyimwa misaada?
Kwanini hatukuhamaki wakati ule Kutii sheria bila shurti ni haki ya mwananchi.
Haki hiyo ni pamoja na kutendewa sheria kila inapowadia zamu yake.
Kutendewa sheria ni kupewa haki za msingi ndani ya katiba
Utii wa sheria ni two way traffic. Sheria zipo kukulinda na kukuhumu siyo suala la kuchagua kipi na wakati gani. Bila hivyo, utii wa sheria bila shurti unaingia shurbati
Taifa lolote linalodharau katiba yake na kutothamini haki za raia wake na the so called kiongozi ni kufoka foka tu na kutoa vitisho huku akipandikiza chuki za kutisha miongoni mwa raia wa nchi husika, Taifa hilo haliwezi kupata maendeleo yoyote ya kuridhisha.
Sidhani kama inawapa absolute powers,pengine inawapa mandate ya kuendelea na sera walizoahidi.Rev. Kishoka, post: 21236665, member: 18"]Kwa hali ya leo, CCM na Rais Magufuli wanadai kuwa dhamana "waliyopewa" Kutawala inawapa absolute powers na unilateral decision making on behalf ya Watanzania.
Ni makosa ya kutoelewa. Siasa ni kitu endelevu . Wajanja hutumia fursa ya kutawala kusahihisha makosa waliyofanya au mapendekezo ya nje ya yao kufanya mambo ya maana.Wengine tunaambiwa tusubirizamu yetu at sametime kuna suppression ya hali ya juu kuzuia opposing views and ideas to flourish
Ndiyo maana sikubaliani na watu wanaosema kiongozi fulani anazungumzia ukabila, ukanda au udini.Soma hata vitu vya kijamii kama Msiba wa Arusha jisni gani Serikali ya CCM imeamua kuwa na exclusive rights za maombolezo na rambirambi!