asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
asakuta same wacha hizo...
Ndo maana nkataja club zote.
ha ha ha ha ha! vp paketi ya postnor?
kwanza bado upo dodoma? kesho nikutafute....
asakuta same wacha hizo...
Ndo maana nkataja club zote.
ha ha ha ha ha! vp paketi ya postnor?
kwanza bado upo dodoma? kesho nikutafute....
I presume aliweka vidonge vingi kwenye kale kaboksi kamoja.
Niko kwa kina Cantalisia na Arushaone for the weekend.
I presume aliweka vidonge vingi kwenye kale kaboksi kamoja.
Niko kwa kina Cantalisia na Arushaone for the weekend.
Simulizi nzuri, ila umewajulisha vijana (ambao walikuwa hajui) juu ya uwepo wa 'morning after....'
Mkuu unaongea from EXPERIENCE ama PROFESSIONALISM.
Inategemea na imani yako, yangu hainiambii kuwa ni jambo zuri.
Hata mimi nimeshavisikia kwa rafiki yangu; siviungi mkono...ni sawa na kutoa mimba tu; maana vinafanya nini kama si kuua kiumbe cha siku moja?
Sikumbuki vizuri maana ni muda lakini ni kama vile wakati ananambia alisema ana stop kwa kuwa amesoma mahali kuwa vina madhara...kansa kama niko sahihi...ngoja tu google.