Posta waweka gharama ya kupokea vifurushi

Posta waweka gharama ya kupokea vifurushi

posta bado ni muhimu na inaaminika sana hata kwenye dunia ya kwanza ndio kwanza inachanganya licha ya teknolojia mpya ya mawasiliano
Zamani walikuwa wanafungua barua sijui cku hizi mie niliwahi tumiwa barua toka zambia mwaka wa 19 sijaipata

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Hahahha my dia posta ina umhimu sana..hata ulaya postal address zipo ..pamoja na teknolojia hiyo hiyo..
Umesema ulaya sio .............,,,,,,,,?

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Hivi bado kuna watu mnatumia hilo Shirika kutuma barua, siku hizi tunatumia mabasi siku hiyo barua au kifurushi chako kinafika
Kama unafanya kazi ya kuuza Ice cream, lazima husione matumzi yake. Kwahiyo hata barua za ajira unatumia basi au fuso?

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Back
Top Bottom