Posta waweka gharama ya kupokea vifurushi

Posta waweka gharama ya kupokea vifurushi

Hivi bado kuna watu mnatumia hilo Shirika kutuma barua, siku hizi tunatumia mabasi siku hiyo barua au kifurushi chako kinafika

Ukichanganya na teknolojia mawhatsapp, e-mails nk lazima wakae
 
Nimeshangazwa na shirila la posta lililoko mahututi kuweka gharama ya kupokea vifurushi vidogovidogo ambavyo vinaingia hata kwenye mfuko wa shati ,MTU unalipia sanduku kila mwaka halafu bado na kifurushi ulipe 1500/=,kweli namba inasomeka
Nimetumia huduma ya posta kupokea vifurushi mwaka wa tano huu. Ukitumiwa kwa upande wa Dp huwa sh 1000. Upande wa Registerd No, ni free. Kuanzia mwez wa 6. Mwishon mwaka huu wamepandisha upande wa Dp kutoka 1000 mpk 1500 na upande wa Registerd no bado Free. Fanya uchunguzi kabla ya kuongea
 
Mkuu sijawahi kuagiza lakini kwa technology ya leo posta haiitajiki tena.
Kijana usiwe na akili za kina lumumba, Posta haifi na itaendelea kuwepo na watukuu zako watatumia. nadhani wewe hujawahi kutumia ndio maana unasema hivyo
ila sisi tunaotumia tunaelewa umuhimu wake.
email na simu hazifanyi kazi za parcel
 
Ni kweli kwa technolojia hii bado mkuu unatumia posta japo sijawahi kuitumia?
 
Ni kweli kwa technolojia hii bado mkuu unatumia posta japo sijawahi kuitumia?
kwa technology iliyokuwepo sasa badi nitaendelea kutumia posta, na natumia posta kwa vitu vingi sana kijana. Kijana sisi wengine cheque zetu zinapitia posta, parcel zetu hazipenyi kwenye simu wala email, tunapokea magazine kupitia posta na sio hayo tu hata important documents ambazo lazima ziwe hard copy
 
Mkuu kuna mabasi parcel inafika siku hiyohiyo tena salama kabisa.
 
Kama donors hutaka mawasiliano Ya physical documents sio email posta hawafi leo wala kesho
posta bado ni muhimu na inaaminika sana hata kwenye dunia ya kwanza ndio kwanza inachanganya licha ya teknolojia mpya ya mawasiliano
 
Mkuu sijawahi kuagiza lakini kwa technology ya leo posta haiitajiki tena.
Hahahha my dia posta ina umhimu sana..hata ulaya postal address zipo ..pamoja na teknolojia hiyo hiyo..
 
Kwa utawalawa sasa usishangae sana hata vifurushi mnavyoacha chooni vikiongezewa gharama.

Kwakodimaalumya shirika la majitaka na kodi ya choo.
 
Back
Top Bottom