Posta nendeni wenye moyo tu.

Kumbe umeenda posta mpya! Ooh nenda mwenge kituo cha daladala na mlimani city. Tafuta hela wewe wanawake sio deal la mjini.
 
Asprin njoo uone hapa bhana nisijeshangaa mwenyewe bure
eti naye anatoa mapwoint mjengoni humu
kumbe ndiye yule aliyeshindikana pale posta mpaka akapigwa kwa matofali kwa :shock:
 
Last edited by a moderator:
mkuu posta ukipazoea sishida sana, i've been livng there for 3yrs consecutively
 
mzee uzuri wa mtii....malizia hi methali,amini chako ni kizuri na usiadaike na visivyo kuhusu.tamaa ya macho inapoza mwili,ACHA MICHEPUO TULIZANA
 
tafuta pesa utatupata warembo la sivyo utaendelea kula kwa macho tu huko posta
 
Mara posta mpya, mara jmall, we mgeni wa mji?
 
Jaymo ndo wapi hapo ..mkuu hamna sehemu inaitwa hivyo pale ni J MALL SAWA MKUU
 
πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜• Mbona siibi cha mtu, nala vyangu nilivyopewa na mola mie...walimwengu mna hila mbaya ya nini kunifatafata?????
πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…