Posta mpya iko wapi na ya zamani iko wapi?

Posta ya zamani ipo Kariakoo mkabala na kituo cha daladala za kuelekea MWENGE na Tegeta wakati Posta mpya ipo kitovuni mwa jiji mkabala na tawi la BENKI YA CRDB AZIKIWE
 
Sio kila kitu kinapaswa kuletw JF. Unatakiwa uwe na ushirikiano na watu na kuwauliza vitu vidogo kama hivi sio lazima ulete JF
Ungemjuaje? bora hivi umemjua hata ukichangia uzi wake unajua uchangie vipi [emoji1] [emoji1] [emoji1] .
 
Hao ndio wale Vijana ngumbaru waliotolewa Chato na Mwanza na Kisena kuja kuwa makondakta wa UDA+Mwendokasi,baadae wakahamishiwa hapo Lumumba kuimba mapambio na kusifu juhudi za Jiwe.
Ha ha ha haaaaa... Wapiga vinubi wa mfalme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…