pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,875
- 2,781
Mkuu wakati huo headmistress wetu anaitwa busyanya.nimekula sana kashata za wale jamaa walikuwa wanauza kahawa chini ya Ile mikungu.ila mihogo Ile ya njano mpaka namaliza std 7 sikuwahi kuila,kisa Ile rangi nilikuwa siilewi inatokea wapi,kumbe mawese.
Sikumaliza na bado ngumbalu ila mbona uandiki unachokijua wewe?Kama ulisoma Forodhani basi hukufaulu.
Nimekuuliza maswali simple unashindwa kujibu huku ukijigamba wewe mutoto wa mujini.
Sie tupo long time hapa Mzizima.
Rejea jibu langu la awali.
Unajibu kwa kujihami kutokujua kwako.Sikumaliza na bado ngumbalu ila mbona uandiki unachokijua wewe?
Mm sijajigamba Ila nimesoma Forodhani huo ni ukweli halisi wanaojua historia ya hapo watasema.
Nenda pale posta ya zamani kabla hujavuka geti utaona hayo majina.
Makaburi mengine ndio Yale ya upanga na makumbusho millennium tower walivyotaka kujenga lile jengo ulianza mgogoro wa kuhamisha yale makaburi. Nakumbuka ikaamuriwa kupelekwa ununio nadhqni km nipo sawa.
Posta ya zamani ni huku upande wa baharini, kuna barabara pembezoni mwa NBC ukiwa umesimama kituo cha posta ya zamani. Inaingia kwa ndani na ndipo ilipo posta ya zamani. Posta mpya ndo pale jengo refu kuliko yote kuna tawi la benki ya crdb azikiwe kama sikosei opp kuna posta na nidyo inaitwa posta mpyaMpaka Leo hii haya maeneo mawili ya jijini yananichanganya sana.nachojua posta Ni pale kwenye mnara wa askari.ila sijui Kama pale ndo posta mpya au ya zamani.na Huku sammora wanaita Ni posta ila mbona hakuna ofisi zenyewe za posta ilikuwaje wakaamua kupaita hivyo?
Mihogo ya Njano ilikua kule Bondeni karibu na baharini nyuma ya ilikokua kituo cha daladala cha pale,nimekula sana kashata za wale jamaa walikuwa wanauza kahawa chini ya Ile mikungu.ila mihogo Ile ya njano mpaka namaliza std 7 sikuwahi kuila,kisa Ile rangi nilikuwa siilewi inatokea wapi,kumbe mawese.
Umekuja lini mjini wewe mbwa??Endelea kufugwa hapo LumumbaMpaka Leo hii haya maeneo mawili ya jijini yananichanganya sana.nachojua posta Ni pale kwenye mnara wa askari.ila sijui Kama pale ndo posta mpya au ya zamani.na Huku sammora wanaita Ni posta ila mbona hakuna ofisi zenyewe za posta ilikuwaje wakaamua kupaita hivyo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yeye anajua ofisi za Lumumba tu anapochukuliaga bk 7
Pole yako swala la wewe kusoma kwa walume au wajike halina maana ulivyosema mwanzo kuwa mm nimesimuliwa nikajua labda ulikuwa mmoja wa wachimba makaburi.Unajibu kwa kujihami kutokujua kwako.
Sasa nikupashe, mimi nimesoma Tambaza, shule ya walume, nikikutajia mwaka utatamani kuingia chini ya dawati.
Hapo Posta ya zamani umeona mabango tu ya waliokufa WW1 na HAKUNA makaburi ya zamani hapo Kivukoni wala Posta na hata Azania Front.
Ni kutumia akili tu, sehemu hizo ndo ilikuwa Central Business District ya utawala wa Wajerumani na Waingereza, kwa ustaarabu wao makaburi yaliwekwa Ocean Road ,wakati huo mbali na mji.
Hao ndio wale Vijana ngumbaru waliotolewa Chato na Mwanza na Kisena kuja kuwa makondakta wa UDA+Mwendokasi,baadae wakahamishiwa hapo Lumumba kuimba mapambio na kusifu juhudi za Jiwe.Kumbe maneno miiiingi humu hata posta hupajui vizuri... CCM bhna
Majina haya yalikuja baada ya posta mpya kujengwa pale mtaa wa azikiwe kutofautisha na ile iliyojengwa na wajerumani pale mtaa wa Sokoine mkabala na bustaniMpaka Leo hii haya maeneo mawili ya jijini yananichanganya sana.nachojua posta Ni pale kwenye mnara wa askari.ila sijui Kama pale ndo posta mpya au ya zamani.na Huku sammora wanaita Ni posta ila mbona hakuna ofisi zenyewe za posta ilikuwaje wakaamua kupaita hivyo?
Hiyo ilikuwa ni stendi ya mabasi yaendayo kusini, kaskazini na mikoa ya kati ilikuwa Kisutu ila baadae mikoa ya kati wakahamishia mtaa wa msimbazikipindi napata akili ya kiutambuzi,stand ya mabasi ilikuwa mnazi mmoja.
Huyo atakuwa alisoma Tambaza ya miaka ya tisini kushuka nyuma (1990 -) ambapo Tambaza boys (walume kama anavyoiita) ilikuwa inadharau wanafunzi wa forodhani kwakuwa ilikuwa ndiyo shule pekee ya sekondari ya serikali ya mchanganyiko mjini. Kibasila ilihesabika kuwa iko nje ya mji.Unasema ungetaja mwaka, unachoogopa nn zaidi unachotaka kuongopa ulimaliza lini! Mm nimetaja kila kitu wewe unachokigicha kipi hicho mpk ulazimishwe utaje?!
Pale pale Gerezani,na Mnyapara wa mwisho nilikuwa Mimi.Mi nisaidie tu pale Gerezani, gereza lilikuwa pande ipi?
Mbili tuu,huyu aliletwa na project Kisena.Mulize amekula Christmas ngapi mpaka sasa hiv hapa mjini?
Hawezi kuijua Kisutu huyo.Khaaa.... Umechelewa sana...
Good mkuuKama hazijarudishwa vijijini basi zitakua palepale.
Posta ya zamani ~ Pembeni ya NBC (Baharini)
Posta Mpya ~ Mnaposhukia kwenye daladala (Mkabala na CRDB Bank, Benjamin Mkapa Towe, St. Albano, YWCS)
Sio Kisutu???kipindi napata akili ya kiutambuzi,stand ya mabasi ilikuwa mnazi mmoja.
Dah Kibasila Shule yangu,Tambaza walikuwa na kwere sana ili kuna siku walikiona cha Moto walipokuja Kwa shari,walitafutana hapo ndipo walipojua watoto wa Temeke undava ndio zetu.Majina haya yalikuja baada ya posta mpya kujengwa pale mtaa wa azikiwe kutofautisha na ile iliyojengwa na wajerumani pale mtaa wa Sokoine mkabala na bustani
Hiyo ilikuwa ni stendi ya mabasi yaendayo kusini, kaskazini na mikoa ya kati ilikuwa Kisutu ila baadae mikoa ya kati wakahamishia mtaa wa msimbazi
Huyo atakuwa alisoma Tambaza ya miaka ya tisini kushuka nyuma (1990 -) ambapo Tambaza boys (walume kama anavyoiita) ilikuwa inadharau wanafunzi wa forodhani kwakuwa ilikuwa ndiyo shule pekee ya sekondari ya serikali ya mchanganyiko mjini. Kibasila ilihesabika kuwa iko nje ya mji.
94 duuNimezungumzia kivukoni front pale kwenye bustani sijazungumzia Azania front utakuwa mgeni wa jiji.
Nimesoma Forodhani kwa miaka mi4 nimemaliza 94 hapo bustanini ndio ilikuwa sehem yetu yakupumzikia tukisubiria daladala.