Posta kutamu bwana, asikuongopee mtu.


Ndefu sana inabore hata kwenye kusoma
 
hayo maeneo nikipitaga nakuwaga bize mno kiasi kwamba kila kitu mbele yangu naona kinanichelewesha,yaan napaona panafaa kupita ikiwa na ulazima.Ngoja siku na mm nikatalii huko labda nitakifurahia hicho kiparadiso kilichoelezewa.
 
ganda la muwa wa jana....................!watakukoma ukirudi mwanasitimbi!
 
Mpavu mbona uko banned lakini uko jukwaani kama kawa. Ymekatizia wapi mod hajakuona mkuu???:lol:
 

Nilikupiga picha ukishangaa shangaa

 
he? Kumbe sikuwa nimejibu hoja zenu...
Haya, tuanze na moja moja sasa!
 
Hahahaahahah!
Asante kwa ofa lol!
Ngoja wanaomezea mate kwanza wakupate mie nitakuwa wa mwisho!!!
 
Hahahaahahah!
Asante kwa ofa lol!
Ngoja wanaomezea mate kwanza wakupate mie nitakuwa wa mwisho!!!

Aaah Canta?
Mtoto mzuri kama wewe sio wa kula makombo bana... mi nataka nikupe ikiwa ya motomoto bado.
 
Akchuale haiko jikoni, ila inakuwaga ya moto siku zote.
Nasubiri tamko lako kama unaitaka...
Tatizo sijajua ni nn unataka kunipa,
Aambayo inakuwa ya moto wakati wote,
Tell me Mphamvu,wat is it jaman lol!
 
POPOBAWA anapita anaelekea posta ya zamani.
 
POPOBAWA anapita anaelekea posta ya zamani.
 
Tatizo sijajua ni nn unataka kunipa,
Aambayo inakuwa ya moto wakati wote,
Tell me Mphamvu,wat is it jaman lol!

mhm?
Hembu tukutane PM, my thread is too young kuhamishwa jukwaa la chini.
Sawasawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…