Latete Snr
Member
- Feb 21, 2015
- 79
- 24
et wana jf unaweza kuchaguliwa shule tofauti kabisa na ulizojaza kwenye sel form
haha kweli big result nowWacha nile bataaa mpaka kuku waone wivu miaka minne shuleni then hz miez 6 tu ngoja tu nile raha za kitaa zikitoka tunaenda skul zikichelewa tunazidi kuchelewa so nawashauri form 4 lever wenzangu nyie kuleni bata tu coz naskia ukifika huko utakumbuka kwenu
Me mwenyewe apa nawasiwasi
et wana jf unaweza kuchaguliwa shule tofauti kabisa na ulizojaza kwenye sel form
Ni kawaida, chamuhimu upate shule.
Hilo ndo kubwa zaid..zile form ni kwa ajili ya kulinda democracy tu..kuna shule hazchaguliwi kabisa...unafikiri watapelekwa kina nan?
Na mm ni mmoja wenu
Vp kuhusu alama wana chukua kuanzia ngapi?
Ukipangiwa shule uliyojaza ujue ipo karibu na kwenu.
na mbwembe za wanafunzi kujifanya hamtaki kusoma karibu na kwenu mtaisoma vizuri.
Siku hizi mambo yamebadilika sana, mpaka necta wananzisha kampeni yakuua physics kwakuweka topic za P1 kwenye P2 na p2 kwenye p1 bila ata ya tarifa kama walicyofanya mwaka huu.
Post zitatoka kabla ya wiki tatu kwenda shule ila usishangae kupangiwa HKL uliyejaza PCM na kupelekwa Songea boys uliyejaza Minaki.
Sikuogopeshi ila ndiyo hali halisi.
mimi comb zangu zote zimebalance kwa mfano nmechaguliwa comb ambayo cjaipenda nna uwezo wa kubadilisha?
mimi comb zangu zote zimebalance kwa mfano nmechaguliwa comb ambayo cjaipenda nna uwezo wa kubadilisha?
Inategemea na shule uliyopangwa utaratbu wao ukoje,, hapa ninapofundsha mimi hatufanyi huo ujinga, walokupanga ndo wakubadlshe haohao