Nmekuwa nikisoma uongo wenu wengine mara post kesho wengine kesho kutwa,umekuwa ni upotoshaji jamii.xaxa kwa kuwaulumia nmeona niwape habr za uhakka kuusu hzo post "bro ang ni mhusika mmojawapo kati xa wale wanaousika kutoa hayo majina tamisemi, amesema kuwa kuchelewa kwa post ni kuwa posho lao wameichelewesha kuwapatia.ila amesema tarehe rasmi ni kati ya kesho na j5.acha kupotoshana, me nishaambiwa ya kwangu.