albinomweusi
Member
- Jul 10, 2014
- 44
- 0
Wadau ni vipi? eti anayejua nafasi za jkt za kujitolea zinatoka lini mwaka huu? anayejua atujuzeee wadauuu.
aksante kwa info. babuu lakin mbona wanasema mwez wa12 mwaka huumpaka mwezi wa pili mwakan
aksante kwa info. babuu lakin mbona wanasema mwez wa12 mwaka huu
walio depo wanamaliza mwez 9, then wanaingia wa mujibu mpaka mwez 12, halafu ndo wakujitolea january na koz kuanza march.
aksante kwa info dela na ww hpo uko au unafukuzia post tujuzane....
npo huku kaka! Ila kama kuna uwezekano wa kupata mchongo mwngne nakushaur uende/ufanye huo kuliko kuja kucheza kamar huku.
npo huku kaka! Ila kama kuna uwezekano wa kupata mchongo mwngne nakushaur uende/ufanye huo kuliko kuja kucheza kamar
nichek kaka nipate info za kutosha 0718423437
vjana waliopo jkt ni wengi kuliko nafas za ajira toka taasis za ulnz na usalama, graduates ndo usiseme, na op zlzopta wapo pia, kiukwel kama hauna refa wa ukwel au bahat, jkt ni kupoteza muda na kujitesa.
vjana waliopo jkt ni wengi kuliko nafas za ajira toka taasis za ulnz na usalama, graduates ndo usiseme, na op zlzopta wapo pia, kiukwel kama hauna refa wa ukwel au bahat, jkt ni kupoteza muda na kujitesa.
kaka unataka kusema jkt inawaajiri watu ili wakakae kwenye makambi ya malezi tuu wakale chakula cha bure na posho za bure? mi ninavyockia watu ambao wanabak jkt wanamatatizo na elimu yao ni ndogo
Jkt haina ajira zaidi ya mkataba tu, jamaa aliposema kuwa idadi kubwa ya vijana wa jkt na hitaji la taasisi za ulinzi kwa vijana hao ni ndogo, hivyo tatizo sio elimu kwani wengi wa vijana wa kujitolea wanaanzia kidato cha nne japo la saba wapo.
ndio ckatai mkataba c miaka 2 mwisho..hauoni hao waliobaki hawajachukuliwa elimu yao ndogo?
ni hv, intake ya sasa, kikosin kwetu kuna graduates 156, diploma 70's, certificate za mwaka kibao, form 6 hawahesabik, wa mwaka jana kama nusu ya mwaka huu, sikuambii hao form 4. Ikumbukwe kuwa majeshi hayana haja kivile na graduates ukilinganisha na wapganaji ambao nao wapo lukuki. Zama hz elimu si kigezo tena cha kuajiriwa mapema. Na elmu yako bdo unatoboa mkataba.
huyu jamaa anawakatisha watu tamaa kama mtu anaswali lolote aniulize me ndugu zangu wengi wapo jeshin na me nimesoma shule za jeshi na nina watu nawafaham wakubwa wapo JWTZ,huyo hapo juu anaongea Pumba tupu,mwenye swali aniulize
wewe ndio mwajiri mkuu wa jeshi mpaka useme graduate hawahitajiki?
ulimwengu wa sasa ni nani amekudanganya kuwa elimu haipewi kipaumbele?
HV unadhani jeshi dogo lenye uwezo mkubwa linajengwa bila wasomi?
Au unadhani kutokusoma kwako basi ni shida kwa wenzio?
unadhani sasa hv kuna officer cadet wa elimu ya std 7?
jipange ndugu siku hizi fursa za elimu zipo nyingi sana...
jiendeleze one day na wewe uwe na degree