KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,772
- 21,489
Nimekuwa nikifuatilia visa vya huyu jamaa.
Jamani naona maisha yake yamejaa wingi wa vituko na vihoja, jamaa ni mjasiri na wala haoni aibu hata kusimulia kwenye kadamnasi yale makubwa yaliyomkuta.
swali langu kubwa ni moja, je kwanini avatar yake kaweka pisa ya Osofia in London?
Kama kuna mtu anamjua fresh Bujibuji, naomba ani pm ili nikusanye some info, na kama Bujibuji yuko tayari tushirikiane kuandike kitabu. naamini kitauza sana.
mkuu mfuate pm mtamalizana fresh
kumbe kuna na ma c.i.d. hata humu??? sasa na mie nijirekebishe kuepuka haya...
miss u 2 kk.... i'm ok alhamdulillah... new year inakwenda sawia alhamdulillah,,, what about u??:coffee::A S thumbs_up:Happy New Year......!!!!!!!!!!!!!!! Missing you so much.....!!!!!!!!!! How are you doing dear? Hope alright....!!!!!!!!!!!!!
kumbe kuna na ma c.i.d. Hata humu??? Sasa na mie nijirekebishe kuepuka haya...
ok.... keep it up...... mkishakitoa mtujulishe...wish u all dah best inshallah.Mi sio si ai dii wala shushushu natafuta info za buji ili niweze kuandika kitabu cha movie (script) kutokana na visa vyake
naomba ieleweke wazi sina nia mbaya na buji, nahisi anaweza kunisaidia kwenye kuandika script za sinema, namuona he is much creative kwenye visa na mikasa
Bujibuji ni mganga wa Kieneyeji is my best friend.....
haha haha ha ha aha ha aha ha
kilinge chake kiko wapi nikampe kazi ya kumfyeka bosi wangu?
naomba ieleweke wazi sina nia mbaya na buji, nahisi anaweza kunisaidia kwenye kuandika script za sinema, namuona he is much creative kwenye visa na mikasa